Pengine tumweleweshe kidogo dk kuhusu reli maana yawezekana akiona mawe ( ballast) relini anadhani hiyo ni lami, ni hivi dk, reli imejengwa kwa mataluma (sleepers) na reli (rails) na kuunganishwa na vifungio (fittings and fastenings) ambazo ni boliti na nati (bolts and nuts) pamoja na chuma...
Yes, Politics is dynamic, changing with time as well as situation, the political sphere before CCM bosses outsmarted honorable Lowassa the political wind was been blowing in their favour, but todate there are lamentations and unnessesary abusing languages towards Lowassa due political dynamisty.
Wa msimbazi1 umenifurahisha sana mtani wangu mimi natoka mitaa ya jangwani na twiga, wewe ni GT wa ukweli maana ukweli umeutambua ila unaamini katika msimamo wako, inshallah tumwombe ALLAH amfanyie wepesi mh Mbowe ili mwaka 2019 apumzike na chama kimpe kijiti mtu mwingine ambaye hatakuwa na...
Yawezekana unamatatizo binafsi na mh Mbowe lakini umekiri kuwa chama kilipofika...., maana yake kimekua na kiko pazuri (tafsiri yangu) sasa hapo kilipofika tambua kuwa kuna mchango mkubwa tu wa mr chairman na mapungufu ni sehemu ya ubinadamu, ninachokipinga mimi ni kumwita mr chairman mbumbumbu...
Wa msimbazi pamoja na wote wenye mtizamo wa kishabiki kama wa kwako, shabaha kubwa na ya muhimu ya kupata elimu ni "kubadilisha fikra mgando kuwa fikra hai" (to replace an empty mind with open mind) na mara zote ili fikra zitoke kuwa mgando na kuwa hai ni lazima ufundishwe au ujifunze maarifa...
Ndugu Masumbuko defensive driving ni pale dereva anapokuwa na namna nyingine ya kufanya; kwa dereva wa treni hana namna yoyote ya kukwepa iwe ni gari au mtu lakini ujue treni haina usukani inakata kuruba (curves) kwa nguvu ya msukumo (centrifugal force) na kwa uwiano mahsusi wa reli zote mbili...
Manjagata, machinga complex na taa za chang'ombe zimeunganishwa na Kawawa road lakini Kawawa road ina cross reli kitaalamu tunaita LEVELCROSSING hivyo ukikuta barabara sehemu yoyote imekatisha reli, sehemu hiyo iite levelcrossing, inaweza ikawa Mandela levelcrossing, Buguruni levelcrossing ama...
Ndugu Ally Kombo kilichonifanya nije kwenye public forum ni katiba ya JMT sura ya kwanza; sehemu ya tatu ibara ya 18, 19, na 20; kudadavua au kutodadavua ni mtizamo wako lakini jambo la msingi ni je, yale niliyoyanukuu kutoka kwenye HOLLY QURAN surat AN-NISAA ndiyo hukumu zenyewe ambazo...
Wakuu, haya maneno si ya kwangu nimeya nukuu tu kutoka kwenye kitabu chenye WAKFU ambacho hata hukumu za ndoa na mirathi zinatoka humo mimi mtanishambulia na kunitukana bure na kwa kunionea, wakuu hukumu na sharia zote zinatoka kwa mwenyezi Mungu na ziko ndani ya kitabu kitukufu QURAN; ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.