Za mda huu wadau,
Ni mama wa miaka 40 na ambaye pia ni mzee wa kanisa haya makanisa ya kilokole na alishawahi kuolewa na kudumu kwedumu kwenye ndoa kwa miaka 7 ila hakubahatika kupata mtoto mwanaume akamkimbia . Sasa kapata kijana mdogo tu wakaelewana, kijana akasema yeye yuko tayari kutoa...
na mimi nilete yangu ya kla imasihara hapa
nafungua code maana najua hakuna wa kuona hapa, kuna kipindi tulikuwa na duka na dogo mmoja maeneo ya gana nyuma ya msikiti wa taqwa karibu na rich berbershop..
basi mida ya saa tano akaja mama mmoja bonge sana akakaa karibu na duka chini ya kivuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.