Tunatafuta mtu anaeweza kuandika stori kama muandishi wa habari. Lazima uweunasoma chuo kikuu Dar, degree ya journalism. Tupigie simu, tuma email au andika namba yako kwenye comments or direct message. Namba ni 0762102402, email: cs.maneno@gmail.com
Watoto nchini Uganda wametengeneza video wakicheza nyimbo maarufu “Sorry” ya msanii Justin Bieber. Mwimbo huu umekuwa maarufu sana dunia nzima na watu wengi wametengeneza video tofauti tofauti kuendana na mwimbo huu, lakini dhumuni kubwa la hawa watoto huko Uganda kutengeneza video hii ni kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.