Angalia Faza Anavyo Bariki Waumini!

Inawezekana kanisani hujaingia miaka mingi! Kama ata faza hujui ni nini..daah!
Nilitegemea utaelezea faza ni kitu gani. Au na wewe hujui mkuu? Hii forum ya kuelekezana. Wewe unayejua, uanmweleza asiyejua kama mimi faza ni kitu gani!
 
Back
Top Bottom