Kazi ya Jounalist Vyro Newz

Kazi ya Jounalist Vyro Newz

Joined
Mar 1, 2016
Posts
9
Reaction score
4
Tunatafuta mtu anaeweza kuandika stori kama muandishi wa habari. Lazima uweunasoma chuo kikuu Dar, degree ya journalism. Tupigie simu, tuma email au andika namba yako kwenye comments or direct message. Namba ni 0762102402, email: cs.maneno@gmail.com
 
Lazima dar haya mkuu ngoja waje
 
Kazi za uchwara izo kwani journalism n udsm 2 nenda basi kawatangazie uko uko
 
Back
Top Bottom