Recent content by masandare

  1. masandare

    Ushauri: Kila ninachoomba ananipa isipokuwa muda wake, nifanyeje?

    Mwambie akuoe mkae nyumba Moja, mlale kitanda kimoja
  2. masandare

    Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

    Hapana, hakuna philosophy katika uislamu. Ndugu haupo sahihi
  3. masandare

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Kweli watanzania wengi tunaumwa magojwa ya akili.
  4. masandare

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Asifanye hivyo atamfanya vibaya
  5. masandare

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Alishaambiwa asitoe siri , sasa kaitoa unafikiri wamemuacha tu bila chochote. Ukute keshakuwa bubu tayari
  6. masandare

    Nimeshindwa kula papuchi sababu ya harufu, wengine mnawezaje?

    Nafikiri ni kwakiwa hawana utamaduni wa kutumia maji wakienda haja ndogo. Pia inashauriwa akimaliza kugegedwa tu aioshe kwa maji kabla ya kuendelea na kipute.
  7. masandare

    Mliokutana mjini nendeni ukweni mkatambulishane

    Kama alibakwa? Au jamaa alifariki? Kwa hiyo ulitaka aitoe mimba?
  8. masandare

    Mliokutana mjini nendeni ukweni mkatambulishane

    Hakuna tatizo, maana hata yeye hamuuliza kama amezaa. Sasa ulitaka aanze tu kujiongelesha? Wewe unafikiri huyo jamaa alikuwa Bwakira? Huenda kupatikana kwa huyo mtoto kuliambatana na tatizo kubwa hivyo hapendagi kuliongelea.
  9. masandare

    Nimezaa na mke wa mtu watoto wawili na ana mimba ya tatu

    Ukipanda katika shamba lisilolako huna haki ya kumiliki huo mmea. Jiweke mbali na familia ya mwenzio. HAO SIYO WATOTO WAKO.
  10. masandare

    Msaada mchwa wamekuwa tatizo

    Kuongea unaongea nao vp? Kwa ishara maneno au ikoje? Ufafanuzi tafadhali.
Back
Top Bottom