Recent content by masamchris

  1. M

    Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    NGUO ZA KIUME ZINAZOLIPA NI JEANS ZIWE MODEL kwa vijana ukichukua zile pana itakula kwako => KOMBAT nazo zinalipa
  2. M

    Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    => Nguo za watoto miaka 0-4, NDO ZITAKUTOA HASA WAKIUME BUKTA ZA JEANS, VIGAUNI YA WAKIKE PIA VINALIPA kumbuka watoto huvalishwa nguo zaidi ya nne kwa siku, hujikojolea kujichafua kwahiyo wanahitaji nguo nyingi kuliko rika lingne =>NGUO za watoto utakayo muuzia MWANAUME ni bei ya juu kuliko...
  3. M

    Yafaa kuweka cctv camera chooni?

    FANYA UKAGUZI WA MARA KWA MARA => WEKA MAJI YA KUTOSHA kama umeweka maji kitoto ndoo tena nusu UNATEGEMEA NINI? => ELIMU KWA WATUMIAJI kuna hotel nyingne unaingia unaogopa kujisaidia, choo cha kisasa, maji huoni kumbe ni AUTOMATIC ushamba unakutoka
  4. M

    Yafaa kuweka cctv camera chooni?

    LABDA UWEKE UKAGUZI WA MARA KWA MARA SI KAMERA ila jaribu kupitia MIREMBE watakupa vipimo na dawa
  5. M

    Nape Nnauye anataka nife na ndoto zangu

    NINGEKUWA NA KITUO CHA RADIO ni TAARABU NA NDUGU ZAKE TAARABU asubuhi mpaka jioni WIMBO MMOJA NI Dk 15 mpaka 30, nyimbo za dk 2 kama country, regge, ni marufuku ITASAIDIA KULIPA WASANII WACHACHE ZAIDI
  6. M

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    MI NIMEPENDA KUKURUPUKA KATKA KUTUMBUA MAJIPU mfano mazao/mahindi heka 400, yafyekwa kwa madai wameinglia ENEO LA SERIKALI . . . . . . . . wakiotesha walikuwa wapi? mpaka yanakaribia kukomaa ndo unafyekelea mbali
  7. M

    Ninywe Pombe Gani Wakuu Mkesha Wa Leo !!

    kunywa maji afu KAWASAIDIE WALEMAVU, YATIMA NA MASIKINI . . . . . .SADAKA YAKO YA SIKU YA X-MAS
  8. M

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    NASHAURI (mirembe) HOSPITALI ZA WENYE MATATIZO YA AKILI ZIJENGWE KILA KATA na mtoa mada nae akapimwe . . . . . . . . kweli kweli TZ inakosa wenye uwezo zaidi au . . . . .
  9. M

    Yametimia: Ugumu wa maisha umeanza kujitokeza

    WANAOJIELEWA? vyakula bei juu!, maisha magumu, afu unasema unajielewa? UMERIDHIKA NA MAISHA NDUGU ANGALIA WALEMAVU WANAVYOTESEKA, MAMANTILIE,BODABODA, usijiangalie we binafsi
  10. M

    Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Nami nimeshangaa wameanza asubuhii hii je wakifikia miaka 3 itakuwaje mapeeeema!
  11. M

    Rais Magufuli, baada ya kukusanya kodi, sasa elekeza nguvu watumishi wa umma walipwe arrears zao

    AKIKUMBUKA DENI LA TAIFA na RIBA YAKE: hiyo hela hawajalipia deni kweli?
  12. M

    Tukio gani la kisiasa hutolisahau mwaka huu wa 2015?

    LOWASA KUKOSA URAIS: sintopiga kura tena................!
  13. M

    Upotevu wa makontena: Filamu iliyomaliziwa vibaya

    TUPO KWENYE FILAMU MPYA YA KUTUMBUA MAJIPU, (kuondoa team ya aliyetangulia kuweka team mpya) SIJUI NA HII ITAISHIA NJIANI
  14. M

    Eti! Urais Tanzania uwe ni miaka saba

    NDO UTAKUWA UMETATUA TATIZO AU? waandishi kama hawa wanatakiwa wafungwe, maana wa JK kakaa miaka kumi tu, WATANZANIA ndo wanamsema hivi JE angekaa 14 miaka?, TUACHE DEMOKRASIA IFANYE KAZI ipunguzwe iwe miaka 4,
  15. M

    Ukosefu wa maji katika kata za Mhandu, Mahina, Igoma na Busweru Jiji la Mwanza

    MBUNGE CCM DIWANI CCM mwenyekiti CCM SUBIRI MAJI TOKA CCM WATALETA ziwa victoria si lipo hapo yamepelekwa shinyanga, OK. poleni sana PENYE MITI HAKUNA WAJENZI "HAPA KIAZI TU"
Back
Top Bottom