Your problem is yourself. If you believe in that kwamba unarogwa you are totally wrong. Hebu kuwa mbunifu, kuwa busy na kazi zako na acha kujifikiria vibaya vibaya. You live only once, take the chance to live life yako, jumuika na watu wenye mtazamo tofauti, watu wenye haiba zao, penda...
Mimi kama mimi ninaimani kabisa hatupo wenyewe tu kwenye hizi sayari zetu. Kama dunia ni sayari moja tu katika sayari nyingi sana haiwezekani tuwepo sisi tu na majini. Tukiachilia mbali vitabu vya dini, wanasayance hasa astronomers wanalijua hili vizuri sana. Kuna vitu vingi sana kuhusu uwepo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.