Recent content by MasaiSupai

  1. M

    Kanisa lamuandalia tuzo Lowassa

    Hongera Mhe Lowassa, jamii inaanza kujua kuwa wewe ni hazina ya Taifa
  2. M

    Ee bwana kasi ya mzee wa monduli inatisha....!

    Lowassa ni hazina kubwa sema Tanzania haina bahati
  3. M

    Rais Kikwete, jopo lake pamoja na Rais wa China

    Mpendwa Rais Jakaya, sijui ni Kanzu imekuiva sana! Miaka yote ya Uongozi bado hujui kuvaa Suti? Kwanza jaribu kufunga kifungo kimoja tu na sio yote au mbili kwani wewe sio mbeba mabegi wa hotel yaani bellboy, pili ukikaa fungua kifungo cha koti ili lisijae hewa koti na wewe kuonekana umejaa kama...
  4. M

  5. M

    Ikulu haikujiandaa na ziara ya Rais wa China

    Hata English ni lungha yetu
  6. M

    Rais wa China atua Dar

    Karibu Rais Mteule
  7. M

    James Ole Milya CHADEMA ni mtetezi wa wanyonge au Mnyang'anyi wa wanyonge?

    Mbona mwanasheria wa CCM Andrew Chengjisenti ndie mtetezi wa Dowans-Richmond dhidi ya watanzania
  8. M

    James Ole Milya CHADEMA ni mtetezi wa wanyonge au Mnyang'anyi wa wanyonge?

    Ulitegemea yeye Mwanasheria wa Birikaa amkamate mtuhumiwa na kumpeleka mahakamani? Kwa yeye ni polisi au hakimu?
  9. M

    James Ole Milya CHADEMA ni mtetezi wa wanyonge au Mnyang'anyi wa wanyonge?

    Usijifanye Mama kumbe wewe ndio Muuwaji wa Raia, kumtaja Ocd tu tayari umetupa piche kumbe wewe ni wale waleeee
  10. M

    James Ole Milya CHADEMA ni mtetezi wa wanyonge au Mnyang'anyi wa wanyonge?

    Advocate Ole Milya ni kazi yake kumtetea mteja wake, upuuzi na ujinga wako upeleke mahakamani au na wewe mtafute Andrew Chejisenti na wewe akutetee usikimbilie kumlaumu mwanasheria wa kujitegemea ndio shamba lake zinduka na acha mapovu
  11. M

    LOWASSA: Arusha pagumu!

    Subutu! CCM ikisimamisha Lowassa na ndivyo ilivyo kwa un President 2015 ndio mwisho wa Chadema Arusha, haitapata hata kura moja achilia mbali diwani mmoja
  12. M

    LOWASSA: Arusha pagumu!

    Wewe kweli huoni alama za nyakati, yeye anakiri kwa sababu kwanza anajiamini pili ni teyari ni baba wa wote yaani ndie President wa Tanzania 2015 hutaki hama nchi
  13. M

    New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

    Messi asema 2014 World Cup atafanya maajabu yatakayokuwa zawadi kwa Papa Francis
  14. M

    New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

    Rais Cristina wa Argentina amempongeza Papa na hata kama wanapingana mambo mengi sana kiasi kuwa anamchukia sana kwani ni mtetezi wa waumini wake
Back
Top Bottom