Huyu Dada sijui Kama huwa anafurahisha komedi zake, sijui ni Mimi tu bado sijajua ni aina gani ya Sanaa anayofanya.Naomba mnisaidie wanajamvi kunipa Elimu kuhusu video za Katalina.
Asante bwana Alphred kwa ufafanuzi wako sasa ile pesa niliyoitoa sitoweza kuipata tena? maana yule aliyeniuzia kakimbia na hajulikani alipo kwa hiyo yupo tu mwanamke kwenye hiyo nyumba
Asante bwana petro kwa ufafanuzi unaotoa ila naomba unieleweshe vizuri kuwa mwanaume na mwanamke wanaishi pamoja kwa miaka mitatu ndani ya kuishi pamoja kuna mali walichuma wote kama kununua kiwanja lkn baada ya mda fulan mwanamke akaondoka kwa maana hiyo mwanamke akamuacha mwanaume na wamezaa...
Nimenunua eneo la ardhi, aliyeniudhia hilo eneo ni mwanaume mbele ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa , kabla ya mauziano hayo niliulizia kuhusu umiliki wa eneo nikadhibitishiwa kuwa ni lake na nikahoji kama ana mke akasema hana mke walikwisha achana zaidi ya mwaka mmoja na walizaa mtoto mmoja na...
Kwenye dola ya kiislam kama hakuna aliyeoa wala kuolewa ni kuchapwa bakora 100 za nguvu bila huruma kama kuna ndoa baina yao ni kupigwa mawe mpaka kufa maaana ni uzinzi huo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.