Recent content by masaga ndoshi

  1. masaga ndoshi

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso na Mali kwa pamoja zimewaonya Wakuu wa ECOWAS juu ya mpango wa uvamizi nchini Niger

    Burkina Faso na Mali kwa pamoja zimewaonya Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS) kwamba wakithubutu kuvamia Nchi ya Niger ili kuwakabili Wanajeshi waliompindua Rais wa Nchi hiyo basi itakuwa ni sawa na kutangaza vita na Nchi hizo pia na hawatosita kupigana ili...
  2. masaga ndoshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina miaka zaidi ya 25 na sina mume wala mtoto, nachanganyikiwa

    Sijamuelewa mtoa mada mara hana mume pengine hana mke, we unataka nini yani hapo
  3. masaga ndoshi

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NMB,NMB,NMB, nimewaita mara3 yani huduma ya NMB MKONONI nijisajili mimi alafu nisipoitumia mnikate ela et kwa sababu situmii huduma yenu, nimejisajili ili niwe napata ujumbe wa taarifa zangu za miamala napoeka na kutoa pesa, sio wote tuna smart phone tunaweza kutumia NMB APP kwenye simu janja...
  4. masaga ndoshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wahuni tunapendwa sana na wanawake

    Muhuni km muhuni
  5. masaga ndoshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usikopi Ndoa ya Mwezio

    Wasikuumize kichwa hao wanawake achana nao
  6. masaga ndoshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke na kufika kileleni

    [emoji3][emoji3]
  7. masaga ndoshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina hisia kali sana za huzuni nifanyeje hii hali iniondoke?

    Na ww kumbe umo
  8. masaga ndoshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina hisia kali sana za huzuni nifanyeje hii hali iniondoke?

    Na ww kumbe umo
  9. masaga ndoshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina hisia kali sana za huzuni nifanyeje hii hali iniondoke?

    Dah pole sana ndugu kiujumla sijui mazingira unayoishi na watu wanao kuzunguka yani km una marafiki au unaishi na ndugu, nafikiri tatizo lako linahitaji zaidi kua karibu na watu yani jamii yako, unapaswa kupata muda wa kuchanganyikana na watu muongee mfurahi, penda kufanya vitu vitakavyokupa...
  10. masaga ndoshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiogopa kuweka mipaka hutokuwa na mvuto kwa mwanamke unayemtaka

    Imekaa poa sana
  11. masaga ndoshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umenikula sana embu mwachie na mwenzio dear

    Picha la kutisha
  12. masaga ndoshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha mazungumzo na mwanamke uliyekutana naye mara ya kwanza

    Kama una nia ya kutafuta mwanamke wa kuoa ndo unaweza kwenda kistaarabu ukamtongoza taratibu sabab unakua huna haraka nae mana lengo ni kumuoa ila hawa wa barabarn tu unamuita outing unampiga bia usiku mnene unaenda kula mzigo yan hat hujamwambia nakupenda
  13. masaga ndoshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha mazungumzo na mwanamke uliyekutana naye mara ya kwanza

    Unapiga mimba af unapita hivi[emoji115]
  14. masaga ndoshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha mazungumzo na mwanamke uliyekutana naye mara ya kwanza

    Sema sasa ivi hakuna dem wa kumtongoza ni pesa yako tu ukiwa vzr mfukoni wanakuja wenyewe[emoji388]
  15. masaga ndoshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha mazungumzo na mwanamke uliyekutana naye mara ya kwanza

    Nimekuelewa
Back
Top Bottom