Recent content by Maryborne

  1. M

    Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

    Mwanaume anayekitombisha hivi wa nini. Hata km mnagombana vipi na Mwanaume wako kisha anaenda kwa rafiki yako, huyo si mwanaume ni user. .. Halafu huyo kichwapanzi si alisema huyo x wa Mange ni gay, au huo ugay ni akiwa kwa Mange na akiwa kwao ni rijali. Tukaambiwa hana hela ila kwa vile now...
  2. M

    Drama mpya ya familia ya Diamond Platinumz.. Reflection ya family zetu

    Yani ungewajua wazungu wenyewe walivyo waswahili wala usingemdharau Esma hivyo. English ni lugha km zilivyo lugha nyingine, hiyo kuongea kwa sauti nyembamba ni asili yao kutokana na ascent yao. Watu wa kila nchi wana ongea na ascent yao. Heshimuni wengine ili uheshimiwe
  3. M

    Wema Sepetu atia neno kuhusu BET Awards

    Diamond alimtuma RommyJones akaombee msamaha, ingia snapchat ya Wema utawaona
  4. M

    Bashe: Ualimu ni chaka la watu waliofeli, Hakuna dira ya taifa la viwanda

    Ina mana hadi leo hujui km walimu wanaowafundisha wanafunzi ndio hufanya assessment? Yale yale km hata ww ungekuwa umesoma katika mfumo mzuri wala usingeshangaa my point there. Assignments zinakuwa assessed by the school teachers na only few assignments zinapelekwa kwa external teachers for...
  5. M

    Zitto Kabwe: Nusu ya walimu wanalipwa mishahara ya bure, hawafundishi

    Kwahiyo tunakubaliana Zitto Kabwe hakudanganya? Watanzania tujifunze kusema ukweli na ku sacrifice kwa ajili ya wengine. Ushabiki tuweke pembeni, sio kila kitu tuna criticise ili mradi tuu tusikubaliane na opposition parties. Tukimuunga mkono ktk hili na tui challenge setikali pamoja, watoto...
  6. M

    Zitto Kabwe: Nusu ya walimu wanalipwa mishahara ya bure, hawafundishi

    You are joking. Nifundishe kwa mshahara gani wa laki mbili, seriously? Yani hadi sasa hujaelewa kwa nini wasomi hawatoki kufundisha. Sababu hakuna pay motivation my broda. Achana na mambo ya wito, who will waste their time kwa ajili ya kujitolea at at this time and age? Kufundisha sio wito...
  7. M

    Zitto Kabwe: Nusu ya walimu wanalipwa mishahara ya bure, hawafundishi

    Ndio mana tunasema walimu wengi ni failures na ndio mana hawapo willing kufundisha mathematics. Na sio tuu hawapo willing, wengi wao ni vilaza yani hawajui kabisa mathematics sasa hapo watafundisha nini? Hivyo system ichekiwe upya yani walimu wawe na good foundation yani performance zao...
  8. M

    Bashe: Ualimu ni chaka la watu waliofeli, Hakuna dira ya taifa la viwanda

    Exams performance is not enough to determine the performance of the students, we need students to be assessed in different ways therefore assignment and half terms tests
  9. M

    Bashe: Ualimu ni chaka la watu waliofeli, Hakuna dira ya taifa la viwanda

    Me too nimesoma Tanzania primary to A level. Niliposoma degree nje ndio nilipogundua mapungufu ya elimu yetu. Elimu ya Tanzania haimuandai mwanafunzi career wise ipo more academic. Mwanafunzi wa A level anasoma let say business, apart from kusoma the theories about businesses hajui how to...
  10. M

    Bashe: Ualimu ni chaka la watu waliofeli, Hakuna dira ya taifa la viwanda

    Ukweli mchungu, watanzania hatujazoea kusema ukweli yani mtu akisema ukweki lazima watokee wanafki wa kukukatisha tamaa
  11. M

    Bashe: Ualimu ni chaka la watu waliofeli, Hakuna dira ya taifa la viwanda

    Kwani mwenzetu umesomea wapi sio Tanzania hii? Ina maana haya ulikuwa huyajui au unapenda ku criticise kila kitu ili mradi na ww umesema. Unataka kutuambia hujui km walimu ni failures?
  12. M

    Bashe: Ualimu ni chaka la watu waliofeli, Hakuna dira ya taifa la viwanda

    Ndio mana tunataka mabadiliko ktk sector ya elimu Tanzania kutokana nanmatatizo km hayo. Njia zinazotumika ku assess performance za wanafunzi ni wrong. How could a student be assessed na only one exam? Wizara inabidi ianze upya kufumua hiyo system waliyonayo. Wanafunzi wantakiwa kuwa assessed...
  13. M

    Magufuli achangia Sh10 milioni matibabu ya mwanafunzi

    Ndio aangalie wizara ya Afya inatatizo gani, hii ni aibu
  14. M

    Bashe: Ualimu ni chaka la watu waliofeli, Hakuna dira ya taifa la viwanda

    Na hilo ndio tatizo kubwa Tanzania, mwalimu ni mtu wa mwisho kupew kipaumbele. Ndalichako alitakiwa afumue mfumo wa elimu kwa kuanzia na walimu wenyewe. 1. Aongeze mishahara ya walimu, walimu wanalipwa mishahara ya chini kabisa kiasi inauwa motivation. 2. Mwalimu awe ni mwanafunzi aliyepass...
  15. M

    Magufuli achangia Sh10 milioni matibabu ya mwanafunzi

    Sijui unampongeza kwa mantiki ipi? Km kiongozi alitakiwa ahakikishe huyo msichana anapata tiba haraka iwezekanavyo, hiyo ndio maana ya kuongoza. Rais anatakiwa ajue wajibu wake ku make sure wananchi wake wanapata tiba bure na huduma za operation kubwa ambazo hazipatikani nchini kuwe na mfuko wa...
Back
Top Bottom