jamani hivi mnyika ni mara ngapi amekuwa akisimama bungeni kutetea wananchi wake kuhusu maji na mpaka amekuwa akitishia kuandamana na wananchi wake kwenda kwa waziri wa maji na huo ndo umekuwa ungomvi mkubwa na waziri ila kikubwa hapo ni serikali ya jk kutaka kumwangusha ili isipeleke huduma kwa...
jaman yaani mtoa post unashida ya uelewa yaani kisu na manati ndio visambazwe mikoa yote na huku kila mkoa kunauzwa visu na mipira ya kutengenezea manati zipo tele jamani kweli una vituko mpaka basi mim nikajua bunduki kumbea visu na manati pamoja na ngui za chama ndio vifaaa hata mikoani huku...
ni kweli jengo hilo limedondoka na habari za kwa minika ni kua mpaka sasa mtu mmoja amesha poteza maisha na gorofa hilo ni la mfanyabiashara mmoja anaejulikana kwa jina la mongo karibu na kuku poa barabara ya nyerere
kwa kweli zitto zuber kabwe umefunguka sana ila tambua mfa maji haishi kutapatapa huyo anatapatapa maana walisha zoea vya kunyonga na ngereja anajitetea tu ila hana lolote mwizi ni mwizi tu ni pesa ngapi wabunge wanapata jamani mpaka kufikia kuwa ombaomba hilo cio la kweli aende mahakamani na...
hawezi kugungwa maana serikali ya ccm ameshaiweka mfukoni hvi kweli anaweza kumwandikia rais ujumbe ili asitekeleze matakwa kwa mujibu wa sheria af tusema eti atafungwa ktika nchii mwenye pesa serikal inamwogopa sana
cku zote ccm wanatafuta wapiga kula wale ambao wako huko kwa kuwanywesha pombe sana af ndio wanaenda kupiga kula ila cha kufurahia ni kwamba cdm tuna walimu wazuri kuwafundisha tutawafata mpaka huko kuwapa darasa naimani wataelewa tu
wanatarime sio mbumbu huyu diwani alizana ataweza kuwaxhawishi amuulize mtikila alie fika tarime na kuanza kuonge na kuchonganisha alichoambulia ni mawe kichwani kule watu ni waelewa sana na ccm wajipange mwaka huu mpaka mwakani tunatka kunyakuwa viti vyote
sidhani kma atafikishwa mahakamani nchi hii ukiwa na mkwanja waweza kuvunja sheria na usipelekwe popote pale maana hiyo kesi itaanza kupelelezwa mpaka miaka hata mitano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.