Acha uzembe kulala siyo sifa utalala kaburini ukikosa usingizi tumia kama fursa, tafuta kazi ofisi za Kijiji au mitaa wakupe kazi ya ulinzi uongeze kipato zaidi ukikosa tafuta hata kazi za viwandani omba kufanya kazi za usiku
Faizafoxy:unatumia nguvu kubwa kubishana na waislamu wenzako walio kataa dini ya kwel na kukubali ubatizo na vitimbwi vya kila namna wape pumzi maana kweli haijifichi,unabishana na dunguzo ambao matendo yote ya mwili Hadi mijongeo yao Ina akisi uislamu mtupu wape pumzi
Maumbile ya mwanamke yanaongea zaidi katika kupokea kila kitu,, maumbile yetu kuanzia misuli tumeumbiwa kufanya kazi ili tupate Cha kutoa,,Kama huna Cha kutoa thaman yako inakuwa ya wasiwasi,,tutafute pesa wenzetu huvutiwa na tulivyo navyo tu.
Kuna wanawake wengine unamtoa mavumbin Kama nyoka unampa kila kitu ili awe unavyotaka kikiisha changamka kinapita na washkaji zako halafu ukiamua kumuacha awape wana wa enjoy mizagamuo kakichujuka kanakurudia tena ukapige msasa.inakela Bora kila mtu awe na misimamo yake maana wanawake ni wengi...
Usanifu wa upauaji kisasa hauhitaji fundi njaa,,hauhitaji mbambamba katika materials hizi nyumba ni nzuri kwa muonekano lakini hazifai kuishi mosi nyingi huvuja pili hazina maisha marefu kwa sababu ya mzigo mkubwa inao ubeba juu hii hutegemea na msingi una huimara kiasi gani lakini tujifunze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.