Recent content by martinubwe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Mimepanda Passion na Ndizi, nimeshaanza kuvuna, nafahamu kuwa haya matuna unavuna mwaka mzima, sasa Naomba unishauri ni yapi mengine
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Nataka kupanda miti ya Matunda Katika bustani ya nyumbani, Naomba unifahamishe ni matunda gani naweza kula mwaka mzima Kama nafanya umwagilijaji? (all season)
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbegu Za Artemesia

    Habari! Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mbegu Za Artemesia naitashukuru sana. Niko Dar es salaam, Namba yangu ni 0654 946992. Asante
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Artemisia seed

    Nashukuru Bulldog, naweza kupata contacts Za ASA au unajua ofisi zao zilipo?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Artemisia seed

    Habari! Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mbegu Za Artemesia naitashukuru sana. Niko Dar es salaam, Namba yangu ni 0654 946992. Asante
  6. M

    JamiiForums Tanzania UDASA wakiri mdahalo wa katiba UDSM ulichezewa rafu na CCM

    Czar wqap
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ombi: Kutembelea mjasiriamali yeyote anayefuga kuku kwa Dar

    Karibu unitembelee, Mimi ni Mfugaji wa Kuku, nipo Dar, Pugu kajiungeni. 0654 946992
  8. M

    JamiiForums Tanzania Majogoo wa kienyeji, kanga weupe, bata mzinga - Dar es Salaam

    0789985395 je hii ni namba sahihi? Mbona nimepiga sikupati?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Majogoo wa kienyeji, kanga weupe, bata mzinga - Dar es Salaam

    Nahitaji majogoo 10, upo Dar sehemu gani? Naomba namba ya Simu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa sungura na njiwa wenye tija

    Naomba Kama naweza kupata vitabu vya ufugaji wa Sungura
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    nina vifaranga wa chotara nipigie 0782 708244, niko Dar
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania 12 waliovuma 2012...!

    umemsahau babu wa loliondo
Back
Top Bottom