Ufugaji wa sungura na njiwa wenye tija

Mama timmy hawa njiwa wanapatikana ilala mtaa wa Lindi, kuna jamaa ana banda barabarani anawauza.
 
Ufugaji mzuri wa njiwa ni wa kuwafungi na kuwahudumia wakiwa bandani.kwanza inasaidia hawapotei hovyo,hawapati maradhi hovyo hovyo.

Hapa Mama Timmy umenigusa, kumbe njiwa nao unaweza kuwafuga kwa kuwafungia!! Jamani nirushieni nione dizaini ya banda la kufugia ndani. Sasa umenipa hamu ya kuanza kufuga njiwa japo wachache nipate kujikumbushia radha ya njiwa maana njiwa pori wa kule kwenye mikaa yangu umenionya niachane nao (nyara za wenyewe).
 
Hapa Mama Timmy umenigusa, kumbe njiwa nao unaweza kuwafuga kwa kuwafungia!! Jamani nirushieni nione dizaini ya banda la kufugia ndani. Sasa umenipa hamu ya kuanza kufuga njiwa japo wachache nipate kujikumbushia radha ya njiwa maana njiwa pori wa kule kwenye mikaa yangu umenionya niachane nao (nyara za wenyewe).
Hahahaaaa !kubota bwana!mi njiwa niliokuwa nao walikuwa ni koko!ni juzi tu nimepata njiwa wazuri kutoka kwa shossi.angalia ktk uzi huu siku za nyuma shossi alipost Banda lake.ni zuri sana hebu licheki
 
Hao ni baadhi ya njiwa na banda nililonalo nyumbani

Mohammed hawa njia wanaweza kuzaliana kwa species tofauti (Kupandana)?
Na unawafuga huria ama kuna wakati unaawachia wanaruka nje?
Je wakiruka nje hawatoroki?
wapi naweza kupata hizo species ili na mimi niweze kufuga?
 
Mohammed hawa njia wanaweza kuzaliana kwa species tofauti (Kupandana)?
Na unawafuga huria ama kuna wakati unaawachia wanaruka nje?
Je wakiruka nje hawatoroki?
wapi naweza kupata hizo species ili na mimi niweze kufuga?

Hawa njiwa unaweza ku cross na species tofauti ukapata breed tofauti tofauti ila inashauriwa kutokufanya hivyo ila pale inapobidi tu ili kulinda species haturuhusiwi kufanya breeding na species nyingine. Ila kama una njiwa moja basi unawezaa kubreed na species tofauti ili upate machotara ambao wakizaa wanazaa pure breed.

Hao njiwa wanapatikana sana Dubai na kwa baadhi ya wafugaji Zanzibar bei ina range kwenye 300,000 mpaka 1,000,000 na wanafugwa kwa kufungiwa.
 
Habari wanaJF! Nimejiunga tu kwenye JF hata mwezi sijamaliza baada ya kupitia kurasa ya ujasiliamali nimependa watu wanavyotoa ushuhuda wa namna na faida ya kujiwajibisha naupenda sana huu ukurasa.

Nimepitia mawazo mengi ya watu mbalimbali humu nikaona kila wazo ni jema. Ninaomba sana kwa moyo ule ule wanaJF nisaidiwe kwa mwenye uzoefu wa ufugaji na soko la Sungura.

Nawasilisha!
 
Ushauli wangu anza na sungura wawili dume na jike only for home use kadri unavyozidi kuwafunga,utapata uzoefu na vile vile watu wataanza kujua kuwa waweza pata kitoweo toka kwako maana soko kwa kweli bado dogo na hii inatokana na watu wengi kutojua,kuwa nyama ya sungura ni bora kuliko ya ngombe maana iko kwenye kundi la white meat
Acha nikirudi home ntaangalia kwenye file zangu na niweke hapa kwa faida ya wote

But hongera kwa kuona kuwa waweza anza ufugaji wa sungura
 
fuga sungura kama petty tu ila kibiashara sio dili ni kama kufuga paka ,njiwa au mbwa utegemee kunufaika kiuchumi
 
Sungura wadogo hufa kwa sababu kuu zifuatazo :-
1. Usiwaweke sungura wadogo na sungura dume,,huwa kuna tabia ya sungura dume kuua watoto madume ili kuepuka vita vya kupigania majike wakikua.
2.Inawezekana sungura wako ume wa overpopulate meaning sehemu ndogo umeweka sungura wengi including watoto--so its wise watoto na mama yao ungewatenga.
3. Jaribu kubadilisha dume la sungura ili kutoa offspring ilokuwa strong ambao hawatakufa ovyooo.
4. Pia inawezekana sehemu ya banda kuna wadudu wengi kama sisimizi,siafu,au viroboto japo kuchek na kusafisha banda mara kwa mara.
 
EARN AN EXTRA INCOME BY KEEPING RABBITS

Farming with rabbits is becoming increasingly popular because;

They can be kept in a relatively small space
It is not expensive to keep them...
They eat almost anything
They produce high-quality protein
They make a lot of money; one animal retails at up Tsh35,000

For those interested to know more about this untapped business potential and would like to keep them they may contact our farm manager at 0712131468

or Emails to : summy114@gmail.com See More




 
Salaam wadau...pia nawashauri kwa specie ya njiwa kama fantail chekini na watu wa Kenya hasa mombasa pale wapo wengi na bei kidogo si kali sana..mimi nilinunua huko fantails kwa elf 80 ya hapa kwa pair
 
Back
Top Bottom