Recent content by Martin Senzo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

    Mbeleni lazima chato itakuwa Mkoa, time will tell.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Acacia Options to Pay U$300m

    Nakubaliana na wewe kuwa si chote kilichomo kinachopatikana lakini kumbuka kwanza kuwa kuna tofauti kubwa mno ya kiasi kilichomo kutoka kamati ya prof Mruma na kutoka Barrick/Acacia/SGS/TMAA. Kwanza inabidi kuwe na agreement kwa kilichomo regardless kama kipo kwenye mkataba au la ( This does not...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Acacia Options to Pay U$300m

    Haujui vipi kilichomo wakati Prof Mruma na team yake walifanya "Assay Analysis" ya concentrate kwenye containers. Kama hukuamini average ya 1400g/t gold ya Prof Mruma basi amini ya TMAA = ACACIA +plus ambayo ni 200g/t of gold.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kutegemea Mgao wa 50% ya faida kutoka Acacia ni ujanja mwingine wa Acacia

    Kumbukeni hii migodi tangu ianze haijawahi ku run under profit, muda wote "the mine is running under loss". Sasa kama tunategemea 50/50 ya faida tutaipata lini?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)

    leo, so two weeks from 16/08/2017
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

    Sote tunafahamu kuwa mapato ya Serikali kutoka kwenye makinikia yanatokana na madini ambayo yameainishwa kwenye mkataba kati ya Serikali na Barrick(Acacia). Madini yanayotambuliwa kwenye mkataba ni Gold, Silver na Copper. Lakini Report ya Prof. Mruma ilibainisha kuwa kwenye makinikia kuna...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mzee John Cheyo amesema kuna mwana ACT katika timu inayojadiliana na Acacia

    Mwana ACT ambae ni Prof
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mkinga: Barrick walikodi kampuni kutoka SA kuibua makontena ya mchanga

    Sidhani kama hiyo 5% ya upotevu wa madini alimanisha madini yanayozalisha na Acacia pekee. Alisema madini madini mengi zaidi ya 95% yanapotelea hapa nchini. Tuna madini mengi tu ambayo yanachimbwa na kutoroshwa kinyemela. Chukulia mfano, Tanzanite inachimbwa Tanzania lakini wanaofahamika kama...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka: Maafisa wa TMAA walipewa hela ili Smelter isijengewe Tanzania

    Pamoja na kuwa report ni ya TMAA, ni vizuri kujua team iliyoenda Japan na mwandishi wa report. Katika team iliyoenda Japan kuna wabunge Wa ccm ambao hakuwa watalaam Wa madini.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka: Maafisa wa TMAA walipewa hela ili Smelter isijengewe Tanzania

    Pamoja na kuwa report ni ya TMAA, ni vizuri kujua team iliyoenda Japan na mwandishi wake. Katika team iliyoenda Japan kuna wabunge Wa ccm ambao hakuwa watalaam Wa madini.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanaosema ACACIA wako sahihi wamewahi kujiuliza hili swali dogo?

    You are not an expert on metallurgical extraction/minerallogical composition of ore, otherwise you could have known already. We have something we call "Gangue Minerals", like pyrite etc which make the rest of 20 tons.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Copper Smelters around the World - Capacity less or equal to 100,000 tons per year

    For what, pyrometallurgy or chemical.reactions?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Water pump inahitajika

    Ninayo pia, nitacheck specs na nitaweka picha pia.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Copper Smelters around the World - Capacity less or equal to 100,000 tons per year

    Its the right time to install a copper smelter. If according to the committee report, the stated amount of copper concentrate ranges between 100,000 and 170,000 tons per year instead of the initially purportedly tonnage of around 60,000 tons per year, then I strongly believe we have sufficient...
Back
Top Bottom