Una weza kuni hona vizuri Facebook na istangram/twitter na huko pia huna weza hukaona na kazi zangu pia tuka fanya biashara natumia martin king/fashion designer ok
Nime kua nikipata maswali mengi mengi mno. kuhusu kazi zetu za kudesign nguo na watu wamekua wakini uliza maswali mengi kuhusu hii kazi. kua ni kwanini Disgnes wengi wana kua wanajiushisha na masuhara ya ushoga na kama sio shoga basi ata kua laini laini.
Hukija kuliangalia swalaili kwajicho...
Ume nena bro. Bimkubwa wangu ndokazi yake ana ana uza mchana jioni anehenda kulipaa madeni aliyo kopa na faida ana pata 3000 tu. Kiwa anacho wauzia wana funzi wasgule ya msingi ni tsh 100 ubwa bwa malagee nahakiongeza bei ime kulakwake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.