Recent content by martial jb

  1. martial jb

    Natafuta Master Room Dar Es Salaam

    Habari wakuu, Natafuta master room nzuri Dar Es Salaam, budget yangu 100k mpaka 120k. Maeneo ya kigamboni, makumbusho, magomeni, tabata, manzese No 0787698930
  2. martial jb

    Natafuta samani za kuanzia maisha

    Habari wakuu, Nina mpango wa kwenda kupanga na kuanza maisha yangu mapya, Hivyo natafuta samani za ndani iwe kwa moja moja au hata vyote kwa pamoja kwa wenye navyo. Samani hizo ni kama Godoro, kitchen cabinet, vyombo, feni, pasi, zulia dogo nk. Nipo tayari kulipia muda wowote. Tafadhali sana...
  3. martial jb

    Guede na wenzako tuachieni Yanga yetu

    Skudu anacheza Amapiano tu huku TikTok
  4. martial jb

    Tupia kauli za wachawi wa Yanga baada ya mechi ya Simba na Al Ahly

    "Al ahly siku hizi hamna kitu, timu bora ni mamelodi" Sent using Jamii Forums mobile app
  5. martial jb

    Nimempa talaka mke wangu kisa kushabikia simba

    Labani og kwanini hupendi kuficha ujinga wako, Na hata kama ajira hakuna ndo uwe mjinga!! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. martial jb

    Nimemfukuza kazi shabiki wa Yanga

    Msitukanane Sent using Jamii Forums mobile app
  7. martial jb

    Nimemfukuza kazi shabiki wa Yanga

    Me nilimkata vibao shabiki wa Yanga Sent using Jamii Forums mobile app
  8. martial jb

    Uzi maalumu wa majina mapya ya watoto

    Mkundaeya lina sound good Sent using Jamii Forums mobile app
  9. martial jb

    Nimemfukuza kazi shabiki wa Yanga

    Yanga wengi wana matatizo, na hata ukifuatilia wao wenyewe hawajui wanatka nn Sent using Jamii Forums mobile app
  10. martial jb

    Nimemfukuza kazi shabiki wa Yanga

    Hahahah Sent using Jamii Forums mobile app
  11. martial jb

    Nimemfukuza kazi shabiki wa Yanga

    Ni Changamoto sana mashabiki wa yanga
  12. martial jb

    Nimejifunza vingi lakini hili ni gumu kukubaliana nalo

    Mkuu topic inaelezea wivu wa kimapenzi, na sio aina nyingine ya wivu
  13. martial jb

    Nimejifunza vingi lakini hili ni gumu kukubaliana nalo

    Hakuna mapenzi bila wivu, Wanaopinga wivu kwenye mapenzi wana uelewa mdogo Ova
  14. martial jb

    Rasmi nimeacha wivu kwenye mapenzi wanawake ni wengi options ni nyingi

    Unamaanish nini, kwamba upo tayari kufanya usaliti ikiwa umefanyiwa, au kuachana na unaempenda kisa wanawake wapo wengi
Back
Top Bottom