Recent content by Marsy

  1. M

    Msaada: Mke wangu Maziwa hayatoki

    Jitahidi anywe uji wenye pilipili manga kwa wingi sana ukiwa wa moto....itamsaidia sana.
  2. M

    Kazi Supermarket

    Asante wadau,nitafanya hivyo....
  3. M

    Kazi Supermarket

    Thanks alot mkuu,wanapatikana wapi hao uchumi??msaada plz...
  4. M

    Kazi Supermarket

    Wakuu kuna nafasi za kazi nimeona za Uchumi Supermarket ila wanadai wanapatikana Quality, Mlimani na Mayfair, mwenye idea na hili anijuze wakuu mana nahofia yaweza kuwa changa la macho coz ukipiga simu wanasema interview ilikuwa leo but nikawaone pale Mliman City. Kuna yeyoye ana jua kuhusu kazi...
  5. M

    Zifahamu dalili zinazoashiria mwanamke ni mjamzito

    Watalamu wanasema inatishia kutoka so ushauri kamuone gyno utapata dawa zitakusaidia sana.
  6. M

    Msaada wa haraka wadau....

    madokta wa jf naomba kujuzwa jambo hili,hivi endapo ktk mwezi mwanamke ukaenda period siku kama 6 hivi badala ya siku 4 za kawaida na mzunguko wako ni siku 28,Je siku za hatari zinasogea mbele au zabaki vilevile?Au mp imeanza tar 2/7 ikaenda siku 6 danger day itaanza tar 12 mpk 17 au itaanza tar...
  7. M

    Msaada plz:je upo uwezekano wa kushika mimba hapo?

    Wadau kuna uwezekano wa kupata mimba katika mazingira ambayo ni miez 2 tangu kujifungua ila mtoto haikuwa riziki,tangu hapo huoni cku kabisa.Je ni kawaida hilo kutokea?Na baada ya hiloni kipind gani kizuri kushika mimba tena?Ushauri ktk hilo.
  8. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wapendwa natafuta mwalimu wa ajira mpya wa kubadilishana naye kituo cha kazi mkoa wa dar toka manispaa ya ilala niende manispaa ya kinondoni ila iwe shule za mbezi ya kimara.Kama yupo tuwasiliane hapa.THANKS
  9. M

    Nini tafsiri ya polisi kumficha vile polis mwenzao muuaji?

    Changa la macho wana2fanyia kwa kudhan kuwa watanzania 2bado wale wa enzi za nyerere,2liokuwa ha2jui A wala Z,TWAPASWA SHTUKA NA HAWA POLICCCM mana 2shawachoka badala ya kulinda raia wenyewe wanalinda ccm.HVYO HA2TAFIKA KABISA...
  10. M

  11. M

    Anayetuhumiwa kumwua Mwangosi: PACIFIUS CLEOPHACE SIMON hajasoma sekondary?

    Hilo changa la macho tu,haiwezekani muuaji afunikwe vile na kupandishwa gari ya kifahari vile wakimaanisha anaenda selo au nyumban kwake kulala?Ile movie inachezwa ili wadanganyika 2tulie hasa waandish bt kiuhalisia hakuna ki2 kama hyo kamwe.Labda waachie ngaz ndo 2tawaamini hao POLISICCM!!,
  12. M

  13. M

    GradeA and Diploma Teachers are needed Urgently

    Mkuu kwan degree hawahitajiki kbs!Na pia naomba kujuzwa hao Teachers junction hawahusiki na conection ktk vyuo vya ualimu,mana me natafuta sana hyo chance kwa hapa dar.NIJUZENI.
  14. M

    Kazi BOT, mwenye vigezo changamkia hili

    Msada wko mkuu wengne twatumia cm,hela zenyewe za mawazo ukienda net then unakuta issue pande zko haijakaa vzr!c utajutia hyo 500 ulopoteza!
  15. M

    Sensa semina kesho tar 13 aug(dodoso fupi)

    Mkuu upo serious au!mana wengne vi2o vya semina viko mbali sana,mana nadhan kwa taarifa hyo kata nyng za kinondoni itakuwa hvyo mana karibia wote 2lihairishiwa.Mkuu 2peane if ni true.
Back
Top Bottom