Sensa semina kesho tar 13 aug(dodoso fupi) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sensa semina kesho tar 13 aug(dodoso fupi)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ansynshoba, Aug 12, 2012.

 1. a

  ansynshoba Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuairusha mpaka j4 tar 14 arafu ghafla kuaarisha mpaka tar 15 siku ya jumatano, Habari kutoka kwa watu wa dodoso refu wanasema wameambiwa wawatangazie watu wa dodoso refu kuwa wawah kesho asbh tar 13, kwasababu kesho ndo wataanza semina.

  source: kutoka kwa mtu anayehudhuria semina za dodoso refu

  Kumbuka huyu mtu ni wa kata ya ubungo so sina uhakika kuhusu watu wa kata zingine, plz ukipata taarifa hizi mtaarifu mwnzio
   
 2. M

  Marsy Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu upo serious au!mana wengne vi2o vya semina viko mbali sana,mana nadhan kwa taarifa hyo kata nyng za kinondoni itakuwa hvyo mana karibia wote 2lihairishiwa.Mkuu 2peane if ni true.
   
 3. a

  ansynshoba Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbona habari inajieleza, kama wewe upo kata ya ubungo kesho nenda kwenye kituo cha seminar, kwa kata zingine sina uhakik, waulize wenzio.
   
Loading...