Anayetuhumiwa kumwua Mwangosi: PACIFIUS CLEOPHACE SIMON hajasoma sekondary?

Jamani hili swala lipo mahakamni chonde chonde tusilizungumzie...

Atlantic Cleophance~Joshua Mulundi
 
Taarifa ambazo bado nahangaika kuzithibitisha ni kwamba ndani ya jeshi la Polisi hakuna mtumishi mwenye jina hilo, hata kwenye data base yao, ila inasemekana viongozi wakuu wamezuia kwasasa data base ya orodha ya polisi wote waliopo kazini kwasasa imezuiwa isionyeshwe kwa mtu yeyote hata aliye kwenye Idara husika, inasemekana wanataka kuchomeka hilo jina hizi siku mbili tatu baada ya watu kuhoji kama ni kweli anaye hukumiwa ndiye aliyetenda mauaji ya Mwangosi. Kweli Polisi wanatumika vibaya sijapata kuona.

Kama umesearch kwa jina imeshindikana hebu jaribu kutumia ile force number aliyoisema Nchimbi G....
 
Mwenyewe niliposikia hilo jina, nimechoka! kimsingi polisi wa cheo cha chini kama huyu anatambuliwa kwa namba ya uaskari wake na jina la kwanza tu. niliposikia Constable wa polisi anatajwa kwa majina matatu tena bila namba, nikajua ni yale yale ya watekeji wa Dr. Ulimboka!
 
Kwa umri wa huyo askari ni dhahiri kaajiriwa juzi juzi tu! Jeshi la polisi halipokei vijana wenye elimu chini ya kidato cha nne kwa muda mrefu sasa.

Kiukweli huyu kijana hayupo kwenye list ya Necta mtandaoni!!! Wasituambie kijana amedanganya jeshi kwa vyeti feki! tunataka tumtambue huyu mshtakiwa maana hakuna haja ya siri while hili swala ni la public tuacheni mzaha kuna vitu havijakaa sawa kabisa!!!
...Mkuu mbona hata NIDA walishasema kuwa miongoni mwa taasisi zenye watumishi vimeo wenye vyeti vyenye utata ni polisi? Huyo askari kwa umri wa 23 yrs kwa mazingira ya elimu ya Tanzania lazima atakuwa amemaliza Form 4 kati ya 2010 - 2011...Lakini kubebana huenda alipata kazi kwa cheti cha mnadani tu... Tanzania zaidi tuijuavyo.
 
Km ana miaka 23, means mwaka 2006, alikuwa fomu 4, akiwa na miaka 17.
Kumbukumbu zangu zanambia mwaka huo, NECTA walitoa matokeo ya CSEE kwa namba, si majina.
Hivyo km mahali pekee alipokuwa mtandaoni ni NECTA, huwezi kumuona kwa google.
Pia, ana majina yote ya kizungu, majina ya hivyo uki search, unaletewa option kibao, ht huwez kupata.
 
huyu atakuwa sio Mtanzania
kakodiwa nje ya nchi na inawezekana hata aliepandishwa kizimbani ni kanyaboya tu
analala magereza mchana usiku anakuwa mitaani kama kawa
chezea serikali ya magamba wewe, kila kitu kinawezekana,
yawezekana analipwa huyu kucheza movie,iweje mtuhumiwa wa mauaji apakiwe katika gari la kifahari kama lile
na iweje azibwe sura? anaficha nini? why hawakutaka waandishi wajue siku ya kuletwa mahakamani?
 
huyu atakuwa sio Mtanzania
kakodiwa nje ya nchi na inawezekana hata aliepandishwa kizimbani ni kanyaboya tu
analala magereza mchana usiku anakuwa mitaani kama kawa
chezea serikali ya magamba wewe, kila kitu kinawezekana,
yawezekana analipwa huyu kucheza movie,iweje mtuhumiwa wa mauaji apakiwe katika gari la kifahari kama lile
na iweje azibwe sura? anaficha nini? why hawakutaka waandishi wajue siku ya kuletwa mahakamani?
kwa hiyo unaamini hapo kwenye red kuwa hakuna mtu anaweza kubadilisha hii hali???
hivi unajua hawa jamaa hawakuwa hata na nia ya kuanzisha 'movie' nyingine ila pressure ya media hasa jf imesaidi kulifikisha hili suala hapa?

Hivyo badala ya kukata tamaa ni muda wa kuweka shinikizo zaidi ili waletwe waalifu wa kweli na sio 'Joshua Muhindi' then wale wote waliohusika (walioonekana kwenye operations ile) ikijumuisha RPC Kamuhanda wafikishwe mbele ya sheria.

 
Taarifa ambazo bado nahangaika kuzithibitisha ni kwamba ndani ya jeshi la Polisi hakuna mtumishi mwenye jina hilo, hata kwenye data base yao, ila inasemekana viongozi wakuu wamezuia kwasasa data base ya orodha ya polisi wote waliopo kazini kwasasa imezuiwa isionyeshwe kwa mtu yeyote hata aliye kwenye Idara husika, inasemekana wanataka kuchomeka hilo jina hizi siku mbili tatu baada ya watu kuhoji kama ni kweli anaye hukumiwa ndiye aliyetenda mauaji ya Mwangosi. Kweli Polisi wanatumika vibaya sijapata kuona.

Hahahahaha..dah! ningekuwa moderator ningekupa BAN..and you know why!
 
Kazi tunayoifanya hapa ni kazi ya msingi kwa waandishi wa habari za uchunguzi na si kusubiri matukio pale maelezo!! Hakuna aliyefatilia hata yule pandikizi la Ulimboka hadi sasa kujua historia yake na namna alivyounganishwa na hiyo kesi!

Mwandishi hajishughulishi kujua,wananchi hawajui sasa kuna Taifa hapo?
 
walivyomwua-wangosi.JPG

wote hawa ni wauwaji wafikishwe mahakamani,

Ushahidi tosha kuwapeleka The Hague Kwa Ocampo. Wanaharakati fanyieni kazi sura hizo. Mwangosi anuawa live kabisa mikononi mwa polisi. Sisi sote ni nyama ya udongo na mavumbini tutarudi kila mtu kwa wakati wake. Tangulia Mwangosi,lala mahali pema peponi.Amina.
 
Hilo changa la macho tu,haiwezekani muuaji afunikwe vile na kupandishwa gari ya kifahari vile wakimaanisha anaenda selo au nyumban kwake kulala?Ile movie inachezwa ili wadanganyika 2tulie hasa waandish bt kiuhalisia hakuna ki2 kama hyo kamwe.Labda waachie ngaz ndo 2tawaamini hao POLISICCM!!,
 
Hilo changa la macho tu,haiwezekani muuaji afunikwe vile na kupandishwa gari ya kifahari vile wakimaanisha anaenda selo au nyumban kwake kulala?Ile movie inachezwa ili wadanganyika 2tulie hasa waandish bt kiuhalisia hakuna ki2 kama hyo kamwe.Labda waachie ngaz ndo 2tawaamini hao POLISICCM!!,
 
Sio miaka yote Necta wanatoa matokeo kwa majina...
Na sio kila jina la aliyemaliza O'level au A'level uki google jina lake linakuja na matokeo ya Necta
 
inasemekana ni greengard wa ccm,kwahiyo inawezekana ni wale waliopata mafunzo maalum kwenye kambi za CCM ili kuidhibiti CHADEMA ndio maana anafichwa sura ili asitambulike.nilimeambiwa na mtu mmoja kwamba hawa watu walipewa mabomu(rejea kauli ya Dr Slaa ya ccm kuingiza silaa) ili wakifika kwenye mkutano wa chadema walipue ili ionekane chadema ndio wamefanya hivyo.kwahiyo hayo majina inawezekana yametengenezwa ili ukweli usijulikane.
 
Wanajamvi naomba kuuliza huyu kijana anayetuhumiwa kumwua Mwangosi: PACIFIUS CLEOPHACE SIMON hajasoma sekondary? maana uki google jina lake na hata lile alilotajwa na Nchimbi (PASIFIOUS) halionekani NECTA. isije ikawa tunauziwa mbuzi kwenye gunia au kwa lugha rahisi kanyaboya.

Naomba habari za uchunguzi zichukue nafasi yake.

mumburya,

Yawezekana uko sahihi kabisa. Mimi nafikiri hapa Polisi na Serikali wanataka kucheza na akili za Watanzania ili kupoteza lengo.Bila shaka hii inaanza kuwa ile the Comedy Show ya Kova na Utekwaji wa Dr. Ulimboka! Huyu sijui Pasifious Clearface(Cleophace) yawezekana ni jamaa tu kachukuliwa mtaani au ni mfungwa aliyeko gerezani kaingia dili na Polisi akubali kuwa mwuuaji wa Mwangosi baadaye kesi hii itakuja kupotezewa kama ya Dr.Ulimboka na mambo yatakuwa yamekwisha! Si tunajua CCM na Mwenyekiti wao Kiwete walishasema kuwa matukio mengi ya hapa Tanzania huwaga ni kama upepo ambao unapita! Watanzania watasahau very soon na ndiyo mwisho wa kila tukio!!!!!!

Mimi nafikiri Waandishi waliokuwa pale Nyololo siku ile na Marehemu Mwangosi ndiyo wanaweza kuthibitisha kama kweli huyu askari ndiye mwenyewe. Tunajua alikuwa amevaa kofia ya kiaskari ya kujikinga wakati wa mauaji hayo. Lakini mtu ukiwa karibu naye na picha za mnato na video vinaweza kumtambulisha muuaji huyu.

Mwanzo kabisa tuliambiwa kuwa askari waliofanya kazi hii ya uuaji walitoka nje ya mkoa wa Iringa na hili hata bbadhi ya askari wa Iringa walikiri kuwa baadhi ya wenzao walikuwa wageni na ndiyo maana tulisikia hata kauli za kuwazuia wenzao wasimdhuru Mwangosi kwa vile wanamfahamu. Wengi wao walitoka Dodoma na Mbeya na baada ya mauaji walirudi kwenye vituo vyao! Kwa hiyo uwezekano wa kuchomekewa askari bandia ni mkubwa! Hili linaweza kuwa changa la macho! Tunajua serikali ya CCM kwa sasa haiaminiki hata kwa sekunde moja! Hawa jamaa ni madikteta waliokubuhu kwa hiyo wanaweza kufanya lolote ili kujinasua na kadhia hii.

Hii inaanza kutupa mashaka kuwa hapa kunausanii unachezwa.yawezekana kabisa Polisi walijua mipango hii ya mauaji na ndiyo maana hata tukio la Morogoro kuna mapolisi walitoka Dodoma na Iringa. Hili linafanywa maksudi ili kunapotokea tuhuma kama hizi basi wale Polisi waliohusika wanakuwa hawapo eneo husika kwa hiyo hata wakijidai kuitisha master parade ya utambuzi hutapata askari aliyeshiriki kwenye vurugu hizo!

Kuna haja ya kufuatilia kwa karibu kujua kama kweli huyu askari ndiye hasa au ni longolongo.
 
Back
Top Bottom