Recent content by Markyoka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

    Pale Musoma Technical School nmekumbuka mbali.. Mnyama Physics Hapana chezea
  2. M

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria ameachana na mumewe?

    Henry Kilewo mme wake sahv yuko Kimya sana pia hata siasa hapost tena kulikoni?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Star Tv imepotea hewani?

    Wamerudi hewani na sauti ipo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Binti ajinyonga baada ya kujifungua mtoto njiti

    Kumbe sababu ni hiyo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jesca Kishoa Kafulila: Rais anatumbua Vipele,Majipu Bado Hajagusa Kabisa

    Kwani hujaona Jesca Kishoa Kafulila kwenye hiyo post au jina gani unataka?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lini Tundu Lissu ataacha kutafuta sifa na kuwa Mzalendo wa kweli?

    Kajifunze kwanz kuandika kiswahili ndio uje
  7. M

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mshahara wangu uko benki kwenu mwajiri kaniandikia barua mniwekee mshahara tangu alhamis hadi leo sijaupata tatizo ni nini? Au inachukua siku ngapi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo viti maalum Bunge la 11

    Ni kura za ubunge ndio zimetumika ndomana utaona CUF imepewa viti 7 wakat haikusimamisha mgombea zaidi ya kumuunga mkono yule wa UKAWA
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Nisaidieni Salum Mwalimu matokeo yake yakoje?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Sasa nyie mlimpigiaje huyo dada wa Chadema wakati mnajua Mtatiro ndiye mgombea wa UKAWA? Mtatiro akishindwa wa kulaumiwa ni nyie wapiga kura na ulimbukeni wenu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mishahara kulikoni?

    Kwani ina usaili ile kazi ya muda?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe wabunge wa CCM waliahidiwa mafao makubwa kupitisha muswada wa gesi!

    Ni mil.200 sio 20
Back
Top Bottom