Wewe taahira kweli.. Mji wa Njinjo umefutwa kwa mafuriko utawala uko kimya wananchi wanataabika kupata chakula, maji na malazi wewe unaongea upupu.. Mafuriko ya Njinjo yameua wengi na kuharibu mali njingi ila huyu katili hajajigusa hata kufika kusaidia hata kwa kutoa pole.. Kama soon redcross na...
Wakati mwinginenhawa Viongoxi was CCM wanatunga sana uonga nankujadaa wananchi kwa kuwachafua wasio na na doamlolote... Inakuwaje Huyo Paulina asishtaki huyo aliyekuwa anamtaka kimapenzi mahakamani kama sio upumbavu wa Polepole anaudhihirishia UMA na kumchafua huyo Gekulu?. Na pole pole ni...
Mnajitoa fahamu sana CCM.. Janalikuja na tuhuma kwa Precision Air kwamba walikopesha chama.. Leo uharo mwingine huu.. Bora make kimya maana hamjijengi badala yake mnaonwa kuwa wapumbavu, wakora na msio na aibu hata ya fisi.. Punguzeni udhanifu wa kitaahira maana hamjielewi ndio mnachochea watu...
Kaka usijitoe ufahamu kama huishi Tanzania.. Yanayoendelea nadhani unayajua sana na hata andiko lako ni kinyume chake.. Waachie wajinga kama Kawe Alumni na The State Agent ndo akili kama hizi zinawatosha.. Wenye uelewa na wanaofahamu hujuma zinazofanywa zikiwemo kuua, kuteka, kuhujumu kila...
Bei zimepanda sana kwa mgano kaskazini no kati Sh. 7000 na 8000 Rock Hill na wengine.. SUMATRA na wadau wa huduma na haki za wasafiri watusaidie.. Na madereva wa mabasi walazimishwa wasipeleke abiria maeneo ya kwenda kuwafilisi..
Wakati mwingine network zako zinakaa sawa.. Nadahni kuna fuse zinahtaji kuwekwa sawa utakuwa mawazo mazuri hata ukiona ile rangi kijani.. Umeongea Madini matupu na hapa kuna chain ama multiplying factor inayoathiriwa na ukubwa wa kodi, kufungwa biahara na TRA pia.. Wenye Jukumu hili ni Wizara ya...
You hit the born brother.. This is how great thinker need to be.. Get two bottles of Ambassador Wine from CETAWICO on my expense.. I salute you.. Waanzishe chao waache CHADEMA life uemyewe.. Ushauri wanaCCM wengi wa kimavi sana.
Hizi ni salamu nzuru sana na nlingependeza sana iwe kwa vijiji vyote vyenye uelewa na wapambanaji was kweli.. Yafaa hawa nyumbu halisi (CCM) watiwe adabu. Huyu mwenyekiti angalao kaonesha roadmap
Mawaziri wanaohusika na biashara, TRA, Fair Competition, TBS, baraza la Taifa la Biashara, NEMC na wengineo wanahitaji kuwajibika .. Wameacha sumu za bidhaa feki na madawa kuja watu na kuharibu mazingira kwa Kasi ya ajabu.. Kariakoo ndiko kumeoza kuanzia mavazi, vyakula, madawa, electronics na...
Yawezekana sana taarifa sahihi hazipo, ila ingekuwa vizuri ukawaulizia wahusika huko ili uje na taarifa sahihi zaidi.. Uhalisia nimeuweka usahihi wake mtafute kwa kuenda na kufanya mahojiano naye..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.