Recent content by marko maluli

  1. marko maluli

    Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

    Kuna wakati wazazi waelimishwe kufanya ukatili kama huo unagharimu maisha yake pamoja na mtoto pia anajiweka rehani. Ili kukemea vitendo hv sheria kali zichukuliwe zidi yao pia taasisi ya haki za binadamu ipaze sauti na kuchukua sheria zidi ya wazazi hao.
  2. marko maluli

    Application za bodi ya mikopo (HESLB)

    Mim NIKIWEKA namba angu ya kidato Cha nne inagoma kabisa ila NIKIWEKA za watu wengine inakubali katika ufunguaji wa account hatua ya mwanzo kbsa
  3. marko maluli

    Application za bodi ya mikopo (HESLB)

    Mim mwenyewe inagoma mwanzo tu nikiandika taarifa za kidato Cha nne inasem an error
  4. marko maluli

    Car4Sale Magari ya bei nzuri yanauzwa

    Nahitaji gari IST NINA million 6
  5. marko maluli

    Ni ipi ngeli ya neno MAITI?

    I-ZI Mfano: (a). Maiti imeharibika -Maiti zimeharibika Sent using Jamii Forums mobile app
  6. marko maluli

    Ukisoma diploma ya Uongozi wa Elimu unaweza kusoma degree gani yenye soko?

    Habarini wana Jamiiforums, Nina ndugu yangu kasomea diploma ya Uongozi wa Elimu lakini anataka akasome degree. Nauliza: Je, akasomee kozi gani yenye soko? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. marko maluli

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Kuna mdogo anga kamaliza kozi ya ubibi afya ngazi ya diploma na amepata GPA 5.0 je anaweza pata scholarship? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. marko maluli

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Zimefutika kabisa haipo hata kwenye orodha ya channel naishi TABORA na natumia king'amuzi Cha antena Sent using Jamii Forums mobile app
  9. marko maluli

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    StarTimes Tanzania, Mimi Nina tatizo kuhusiana na huduma zenu natumia king'amuzi Cha star times lakin Kuna baadhi ya channel zimefutika kabisa hazionekani mfn: St swahili Sent using Jamii Forums mobile app
  10. marko maluli

    Wazibiti ubora wa shule

    Bado nakukanusha kwa point zako za kitoto hapo hujaongea la maana hata kidogo unapo sema mkaguzi ujue amepitia mafunzo kwahyo anautofauti mkubwa na wew ulie somea degree ya elimu .....tufike wakati tukubali matokeo
  11. marko maluli

    Wazibiti ubora wa shule

    Ndugu yangu tambua kuwa mtu aliye Anza na ngazi ya cheti na baadae akapiga diploma anakuwa na uwezo mkubwa kuliko yule Alie enda Moja kwa moja degree fuatilia Hilo harafu utaniambia
  12. marko maluli

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Napenda kuuliza katika NMB Kuna kitu kinaitwa SARALY ADVICE lakin mim Nina apps ya NMB CLICK kila nikijaribu kutaka kuchukua saraly advice wanasema your transaction is not complete tembelea tawi lolote la nmb ukiwa na passport kwann Sasa wakati wengine wanachukua kirahisi msaada hapo
  13. marko maluli

    Nisaidieni jinsi ya kuweka pesa TICKMILL

    Inazingua kwa password hatua ya pili eti niweke Latin letter Sent using Jamii Forums mobile app
  14. marko maluli

    Kuna tatizo katika kanuni za somo la hisabati!!!!!

    Mimi nimejifuza na nimeelewaaa Jambo wanapo sema SIFURI × NAMBA YOYOTE Ni sufuri ,na tujue kwamba kuzidisha kinyume chake Ni jumlisha mfano: 0 × 8 =0 inamaana 0 + 0 + 0 + 0 + 0 + 0 + 0 + 0 Mfano 2: 2 × 3 hi nataka kudhihilisha kuwa kinyume Cha × Ni + 2×3 utajumlsha mbili tatu nikiwa namaana 2 +...
Back
Top Bottom