Recent content by MarkM

  1. MarkM

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

    Kuna siku tutashare story yangu natumaini itaendelea kututia moyo.
  2. MarkM

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

    Hongera sana mkuu. Mungu akubariki.
  3. MarkM

    JamiiForums Tanzania Nyama ya Ng'ombe, mbona wamasai haiwadhuru?

    Nilijifunza kitu kidogo kuhusu wamasai baada ya kutembelea Simanjiro, hawa jamaa tofauti na tunavyowadhania kuwa wanakula sana nyama kumbe si kweli. Mifugo kwao ni ile sifa ya superiority tu. Hapo Simanjiro town hawana hata bucha ya kuuza nyama ya ng'ombe.
  4. MarkM

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Kama hujui unapokwenda...basi umeshapotea
  5. MarkM

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Bado maswali ni mengi kuliko majibu.
  6. MarkM

    JamiiForums Tanzania Sekilojo Chambua alikuwa dereva wa bi. Hellen Kijo kama nani?

    Mwaka 2012 niliwahi fanya training LHRC, Sekilojo Chambua alikuwa mwajiriwa pale LHRC na alikuwa anaendesha toyota hilux. Kwahiyo hii ajali ya juzi imempata Sekilojo kama ajali wanazozipata madereva wengine.
  7. MarkM

    JamiiForums Tanzania Steven Wassira adai hakubaliani na ushindi wa Easther Bulaya

    acha kuharibu post za watu kama hauna cha kucomment piga kimya siyo unajambajamba hapa. Pumbavu mkubwa wewe.
  8. MarkM

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tume inataka kunihujumu Kigoma Kusini

    Zitto aheshimiwe kwalipi? Kwani walikuwa wanagombea jimbo moja? Acha mawazo mgando.
  9. MarkM

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hongera sana kamanda Halima Mdee.
  10. MarkM

    JamiiForums Tanzania Picha: Warangi ni warembo balaa!

    Mi nipo kondoa hapa sijamuona hata mmoja anayekaribia kufanana na hao.
  11. MarkM

    JamiiForums Tanzania Picha: Mama R. Lowassa na mgombea wa ACT wazalendo, Anna Mghwira

    Bora 100% Dr. Manyaunyau kuliko akili zako. Mpumbavu wewe kuwa na heshima kwa mama zako.
  12. MarkM

    JamiiForums Tanzania Madai ya kumuua Kanumba, Lulu kizimbani tena

    We ulivyosukumwa ulidondokea mgongo au tumbo?
  13. MarkM

    JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge Moshi Mjini, David Elisa Mosha atumia walinzi wa kike kama Gadafii

    hadi hapo kashakubali kushindwa
  14. MarkM

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mtikila ataka iundwe Tume kuchunguza kifo cha mumewe, Lowassa, Sumaye na Mnyarwanda watajwa

    Kama mke pia anatakiwa kuundiwa tume kwanini hakutoa taarifa ya wasiwasi wake mara baada ya kuona nyuso mpya zinamzunguka mume wake. Nje ya hapo hizo ni siasa tu.
  15. MarkM

    JamiiForums Tanzania Ipi ni bendera halisi ya CHADEMA kati ya hizi

    Wewe unajiaminisha Hashim Rungwe atakuwa Rais kwahiyo unajiona mjanja
Back
Top Bottom