Recent content by Mark pawelk

  1. Mark pawelk

    Je, umekua ukitaka kupunguza mwili/unene bila mafanikio? Pitia hapa

    Najua wengi wamekua wakitamani kupunguza mwili/unene bila mafanikio, unafanya mazoezi, unafanya diet llakini hupungui, Leo ntakupa somo ili uweze kupunguza mwili kadri unavyotaka wewe, utaambiwa Fanya mazoezi, usile vyakula vya mafuta,kunywa maji mengi na blah blah kibao, lakini What's the...
  2. Mark pawelk

    Dawa za kupunguza mwili

    Mkuu Fanya mazoezi na punguza kumeza sana chakula hasa vyakula vyenye calories nyingi There is no way around, sadly Hao wazungu na wachina wanaowatengenezea hizo dawa ndo wanaongoza kwa kufanya mazoezi
  3. Mark pawelk

    Jeshi la Polisi Jiji la Mwanza walinishikisha BASTOLA kwa nia mbaya

    Jukwaa la celebrities kuna Harmo rapa Huku kuna Deo rapa
  4. Mark pawelk

    ANTHRAX LETTER ATTACK: Tukio la kigaidi marekani wiki moja baada ya kulipuliwa jengo la WTC sept 11

    Mkuu ukiwa na mafanikio tegemea maadui wengi Alafu tatizo lingine Marekani hatulii kwake anafanya sana fitina nchi za watu ndo maana maadui wanakua wengi
  5. Mark pawelk

    COLLAR BOMB ROBBERY: Tukio la wizi wa benki kwa kutumia Bomu lilowaumiza vichwa FBI kwa miaka minne

    Hio movie waliitengeneza based na hii collar bomb ROBBERY case, ni movie tamu sana
  6. Mark pawelk

    Kigwangalla: Serikali kupiga Marufuku Matumizi ya Pombe za VIROBA Kufikia Mwezi wa Sita mwaka 2017

    Hapana mkuu nshazoea hawa wa Heineken na Savannah tukiwa nao, ila wakiwa wenyewe wanajifungia wanapiga kitu cha senator au ndege(eagle)
  7. Mark pawelk

    Kigwangalla: Serikali kupiga Marufuku Matumizi ya Pombe za VIROBA Kufikia Mwezi wa Sita mwaka 2017

    Vipi miss chagga ushawahi kutupia nini kitu cha kiroba?
  8. Mark pawelk

    Msaada:Nawezaje Kupiga Gym Na Kukuza Kifua Bila Kufanya Kiuno Kidogoo Kama Katuni?

    Mkuu nenda gym utapewa maelekezo, pia utakuta watu wanapiga tizi usiwe muoga kuuliza Zaidi unaweza tembelea YouTube kupata heads up kwanza
Back
Top Bottom