Msaada:Nawezaje Kupiga Gym Na Kukuza Kifua Bila Kufanya Kiuno Kidogoo Kama Katuni?

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,629
34,173
Habari Wadau,
Najua Kila Mmoja Wetu Anajua Au Ameshawahi Kuwaona Wapiga Nondo Wanavyokuwaga Na Viuno Vidogo - Yaani Kifua Daraja Wakati Kiuno Sindano.

Sasa Nawezaje Kubalance Haya Mazoezi, Na Kama Mtu Akinisaidia Kunielekeza Mazoezi Kama Ya Wachina Itakuwa Poa, Maana Wao Mazoezi Yao Miili Yao Inabaki Kawaida Lakini Mikakamavu.
 
Mkuu ukienda gym hakikisha unatrain viungo vyako vyote, pangilia ratiba ya ku train misuli mbalimbali.. Weka ratiba ya kufanya mazoezi ya kifua,mgongo,mkono(biceps and triceps), shoulders na muhimu sana miguu, pamoja na misuli midogomidogo kama tumbo

Kila zoezi lipe kipaumbale, usirudie rudie misuli aina moja kila siku, at least unaweza ku train kila msuli Mara 2 kwa wiki kama muda unaruhusu

Ukizingatia hayo utakua na mwili ulio na mpangilio, tatizo wengi kila siku anapiga kifua na mkono, mguu hajawahi kugusa,lazima uwe kituko
 
Nashukuru Sana Mkuu, Sasa Mtihani Unabaki Kwenye Kujua Zoezi Lipi Litumike Kweoye Kifua, Lipi Kwenye Tumbo Na Miguu Pia
 
Mkuu nenda gym utapewa maelekezo, pia utakuta watu wanapiga tizi usiwe muoga kuuliza

Zaidi unaweza tembelea YouTube kupata heads up kwanza
 
Habari Wadau,
Najua Kila Mmoja Wetu Anajua Au Ameshawahi Kuwaona Wapiga Nondo Wanavyokuwaga Na Viuno Vidogo - Yaani Kifua Daraja Wakati Kiuno Sindano.
Squats na mpangilio wa chakula ndiyo suluhisho la kuuweka kwenye mlingano kati ya juu na chini. Body receptors za chini zipo slow kurespond kushinda za juu hiki kinachangia kumkatisha tamaa mtu asiendelee kuutengeneza mwili wa chini.
Kama gym unayoingia ipo kamili kwa kila kitu mpaka vifaa vyote vya miguu, wewe hapo ni kuwa na uhakika wa kula tu, utatengeneza na kubalansi mwili vizuri tu.
Ila lazima ujue kua haitatokea wide ikawa sawa exactly na mapaja, mara nyingi hua inakua mapaja yanakua nusu ya wide ya juu.
Na Kama Mtu Akinisaidia Kunielekeza Mazoezi Kama Ya Wachina Itakuwa Poa, Maana Wao Mazoezi Yao Miili Yao Inabaki Kawaida Lakini Mikakamavu.
Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym
 
genetically mwanaume ana upper body kubwa kuliko lower body na mwanamke ana lower body kubwa kuliko upper body so specifically speaking ukienda gym unakuza hiyo hali ya kibaiolojia [ni lazima ule kiwango kikubwa cha protein ili uweze kujengeka]

kama hutaki v shape fanya aerobics (mazoezi ya viungo ) usifanye weight lifting
 
Chagua unataka kuaje? Ku bulk au ku shred...

Ni rahisi sana panga ratiba, kuwa leo ni upper body, kesho lower , core n.k

Kumbuka kina jenga mwili zaidi si tu kupiga weight sana hapana, BALI NI MSOSI (UNA ASILIMIA KUBWA SANA), MAJI NA USINGIZI ( KUPUMZISHA MUSCLE ZIWEZE KUKUA)...

Ila ukifata maelekezo ya wadau hapo juuu utapata utakalo, pia kuna uzi humu umeelezewa vizuri sana
 
Squats na mpangilio wa chakula ndiyo suluhisho la kuuweka kwenye mlingano kati ya juu na chini. Body receptors za chini zipo slow kurespond kushinda za juu hiki kinachangia kumkatisha tamaa mtu asiendelee kuutengeneza mwili wa chini.
Kama gym unayoingia ipo kamili kwa kila kitu mpaka vifaa vyote vya miguu, wewe hapo ni kuwa na uhakika wa kula tu, utatengeneza na kubalansi mwili vizuri tu.
Ila lazima ujue kua haitatokea wide ikawa sawa exactly na mapaja, mara nyingi hua inakua mapaja yanakua nusu ya wide ya juu.

Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym

mbona nilisikia squarts zina madhara
 
Wadau mlio mbeya wapi naweza pata gym kwa mbeya?sana sana uyole udafiri wa kwenda gym upo kwahy taja popote pale
 
Hao wanavamia mazoezi!!! Unakuta mtu anaenda gym kila siku ananyanyua mivyuma tu kwa mikono... Kila kiungo katika mwili kinapewa kipaimbele... Unaweza pangilia leo nafanya mazoezi ya kufua, kesho tumbo, keshokutwa miguu, inayofuata mgongo etc. Sa ukijibebea tu vyuma bila kujua ni nini unajenga ndo unatoka na shepu kama nyigu!
 
Nna mashavu makubwa je kuna mazoez yoyote yanaweza kunisaidia kupunguza kidogo??
 
genetically mwanaume ana upper body kubwa kuliko lower body na mwanamke ana lower body kubwa kuliko upper body so specifically speaking ukienda gym unakuza hiyo hali ya kibaiolojia [ni lazima ule kiwango kikubwa cha protein ili uweze kujengeka]

kama hutaki v shape fanya aerobics (mazoezi ya viungo ) usifanye weight lifting
Yaani binafsi napenda mazoezi yaufanya mwili wangu uwe kama wa Wachina ( Umbo la kawaida ila kakamaa ) au wachezaji siyo kama ya wapiga mieleka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom