naam, nimekusoma mkuu.. nimejaribu kuichanganua kwa kichwa na nime realize kitu unachokisema.. una machungwa nane na ukayazidisha kwa sifuri iweje upate sifuri??? Je! yale machungwa nane yatakua yamepotelea wapi?? kwa akili za kikawaida machungwa nane ukiyazidisha kwa sifuri ayataongezeka wala...
mwanao anaweza akaanza chuo chochote katika ngazi ya diploma maana ana D nne pamoja na C moja.. usimkatie tamaa mkuu bali mpe moyo na mwambie azidi kukazana.. life is a race and inampasa a run fast enough ku reach out the goalz
Hivi kweli kuna humuimu kwa wanafunzi wa kidato cha nne kulipia pesa za kufanyia mtihani wao wa kuhitimu? serikali inataka mwanafanzi wa kidato cha nne kulipia 35,000/= kama pesa ambayo itamuwezesha kufanya mtihani wake wa kidato cha nne. embu tu jaribu kuvuta taswira mtanzania huyu ni yule...
nimekusoma mkuu, lakini ningependa kuuliza swali moja la ziada.. ivi kwa mfano mtu ana c 3 na yupo qualified kwenda form 5 lakini aka cancel out kwenda form 5 na akaanza chuo katika ngazi ya diploma.. je atakua kachukua one big step a head au atakua sawa na yule aliyeenda form 5? kwa sababu wote...
nataka kupata cods za education sites ili niweze kusoma vitabu free on internet but i cant get them by googlig, kwa iyo kama mtu yoyote anaweza akansaidia then naomba aniambie.. iwe ni site ya secondary studies.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.