Recent content by mark haruni

  1. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi zaidi ya 200 Wasimamishiwa mshahara kisa ESS (PEPMIS)

    binafsi ni muhanga wa hilo tatizo na nina mwezi wa pili kazini , hii ishu ni ya tz nzima..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi zaidi ya 200 Wasimamishiwa mshahara kisa ESS (PEPMIS)

    hiyo siyo rorya peke yake ni tz nzima yani ni shid maaana kuna watumishi wapy wamepata chek namba huu mwezi wa pili na wenyew mshahar umesimama, hii nchi aisee cjui...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    ss hv kidogo wanadelay sana kwa7bu wanaoitaji na wanao tumia huo mfumo ni wengi mno, binafsi wakat namaliza chuo mwaka 2021 kuna ambao walienda pal dodoma na wakapata tanesco na hadi leo yupo mmoja ambae anafanya tanesco na tayr anamkataba ila kipindi kile ilikuwa unapeleka cv zako tu ofisini...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zama hizi wanawake wote wanaojiweza kiuchumi hawataki kuolewa

    c kweli mwanamke hat awe na pesa kumzidi dangote kuna mahali akifik lazima aitaji mume, hao uliowataja baadhi yao walishaolewa wakaachik shauri ya kuleta ustar hd ndani ya ndoa..wapo mastaa wenye kipato kikubwa mbona wameolewa akiwemo nandy...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

    lakini mara mia hata wao maana ukifanikiwa kwenda oral unakuwa na kauhakika fulani ka kuwepo kweny database mda wowot unaweza kuitwa, tra utakaa data base ipi??
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

    that's y nilisema hii ishu ya kuajiri bora wangebaki nayo utimishi ila huu uhuru wa mataasisi kuajiri ni noma sana hakuna rangi tutaacha kuona...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    ngoja tuwasikilizie huwenda mwezi huu usiish kabla hawajatoa au mwakani mwanzoni watatoa pia
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    kuna kina sisi tulifanya m.d.a na l.g.a tarehe 8 na 9 november cjui huo mkeka utatoka lini aisee..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkuranga, Pwani: Mwalimu afungwa kifungo cha maisha kwa kulawiti mwanafunzi

    C tabia ya mtu mmoja isiwe 7bu ya kuona kila mwanaume ni mchafu, mbona wanawek wakatili wapo hao wanaobeba mimba wanakuja kuitoa ina miezi nane wao unaweka kweny kundi gani ,au wanaojifungua watoto vizur alafu wanawatumbukiza chooni hiyo ni tabia tu ya mtu cyo kwamba kila mwanaume yupo hivyo..
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nje na ndani ya fani ya manunuzi na ugavi

    Habari wakuu, Naitwa jamali nina umri wa miaka 30 nipo mwanza, elimu yangu ni degree ya kwanza katika fani ya manunuzi na ugavi pia nina ordinary diploma ya fani hiyo hiyo, ninauzoefu wa mwaka mmoja nilioupata katika taasisi fulani na barua ya uthibitisho pia ninayo. tupeane mashavu wakuu nipo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mafuta mazuri ya ndevu

    shukrani kwa ushauri nitafanyia kazi..
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mafuta mazuri ya ndevu

    kuuliza maana yangu ni kwamba zipo ila zinauotaji fulani ambao ni mzuri ila siyo kivile, i mean zinaitajik kufanyiwa uboreshwaji..
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mafuta mazuri ya ndevu

    ndevu kwa mwanaume ni sunnah kaka. Halafu ndio pambo la mwanaume ambalo hata MUNGU karuhusu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mafuta mazuri ya ndevu

    Mafuta gani mazuri ya ndevu kwa mwanaume? Anayoweza kutumia yakajaza ndevu vizuri na kuzifanya zenye kuvutia na afya.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

    utakuja kuuwawa na wanawake za watu....
Back
Top Bottom