Recent content by Mariswaga

  1. M

    Vijana twapaswa tusipige kura kwa kufuata ushabiki.

    Naam! Siyo tu ushabiki wa tumpigie nani kura bali pia tuuepuke ushabiki wa kukaa nje ya kituo eti tunalinda kura.. Mtavunjwa miguu mubaki vilema hatimaye mushindwe kumudu maisha yenu wenyewe huku hao viongozi waliowashawishi mukae nje ya kituo wanakula maisha mazuri na familia zao Mungu ibairiki...
  2. M

    Magufuli aendelea kuzoa kura za Mwanza

    Siyo tu kujizolea kura, ni kujizolea ushindi... Hakuna wa kumzuia Magufuli kuingia ikulu hata mara moja
  3. M

    Bado siku 7 Kupiga Kura, unaona nini mbele?

    Naziona karatasi zote tatu za kupigia kura nimeweka alama ya vema kwenye chumba cha mgombea wa CCM Namuona Rais wa awamu ya tano akiwa amevaa kofia yake ya Bongo man huku ameketi kwenye kiti bustanini ikulu pembeni yake kuna mkewe Mama Janeth Magufuli Naona watu wakiwa na hofu ya kuteuliwa...
  4. M

    Vijana vyuo vikuu waikana UKAWA hadharani

    Wanafunzi wametumika sana kuwabeba CDM bila mafanikio yoyote, wamevunjwa miguu, wamepigwa mabomu ya machozi wamepata kila dhoruba lakini mwisho wa siku wanagundua kuwa CDM ni wapiga dili tu hawana dhamira ya dhati kulikomboa taifa letu kama wanavyodai Kura zao zinakwenda kwa Magufuli J. P...
  5. M

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Mkamia maji hayanywi... Mpe pole sana kwa kumaliza muda na pesa zake nyingi kwa kazi isomatunda. Pumzika kwa amani katika siasa za Bongo
  6. M

    Timu ya ushindi UKAWA yavurugana, wadai kuna wasaliti miongoni mwao

    Wanahaha tu, wameshaona ushindi si halali yao tena ndo wanaanza kutafuta sababu. Ukweli ni kwamba hakuna mgombea mwenye uwezo mkubwa na sifa nzuri za kumshinda Magufuli, acha washindane kwenye ubunge tu lakini kwenye Urais Magufuli kapita bila kupingwa
  7. M

    Yaliyojiri Mikutano ya Mgombea Urais Dk.Magufuli, Kwimba, Magu, Misungwi na Igoma

    Magufuli kawafunika wapinzani wake wote... NI mshindi anayesubiri point tatu baada ya kupulizwa kipenga cha mwisho dakika ya 90. Wapeni pole wapinzani kwa kuukosa ushindi
  8. M

    Yaliyojiri Mikutano ya Mgombea Urais Dk.Magufuli, Kwimba, Magu, Misungwi na Igoma

    Zaidi ya asilimia 70 ya wahitimu wa Elimu au Mafunzo ya Ufundi na Taaluma wanapata ajira kwa kujiajiri au kuajiriwa.
  9. M

    Yaliyojiri Mikutano ya Mgombea Urais Dk.Magufuli, Kwimba, Magu, Misungwi na Igoma

    Ruzuku ya Wanafunzi kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kufundishia na kujifunzia katika shule zote za Serikali nchini,utatolewa kwa wakati ndani ya utawala wa Dr.JPMagufuli
  10. M

    Siku kama ya leo

    Siku kama ya leo itazaliwa Tanzania mpya, iliyo chini ya kiongozi mkuu muadilifu na asiye na madoa ya wizi. Tanzania ya Magufuli yenye neema ya viwanda na ajira tele
  11. M

    Siku kama ya leo

    SIKU KAMA YA LEO: Inshallah siku kama ya leo itakuwa Oct 25, siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa sana na kila mmoja wetu. Siku kama ya leo nitamaliza kero ya maji mtaani kwetu Siku kama ya leo nitapata pembejeo za kilimo kwa bei nafuu haijapatapo tokea Siku kama ya leo nitaanza kilimo cha...
  12. M

    Vipaumbele vya wagombea

    VIPAUMBELE VYA WAGOMBEA MAGUFULI Afya (Trilioni 29.15) Zahanati kwenye kila kijiji Kituo cha afya kila kata Hospitali kwenye kila wilaya Hospitali ya Rufaa kila mkoa Elimu bure hadi kidato cha nne (Trilion 5.14) Hakuna ada ya shule Hakuna michango Ujenzi Chuo kikuu kipya cha Kilimo...
  13. M

    Watanzania wanastahili pongezi

    Hata kama upinzani ukishamiri namna gani lakini Watanzania wengi wanautambua umuhimu wa nchi yao kuongozwa na Rais wa Chama Cha Mapinduzi; wako radhi kumchagua Mbunge wa chama chochote cha upinzani lakini hawako tayari kuongozwa na Rais toka nje ya CCM. Siyo kama hawayaoni mapungufu yaliyopo...
  14. M

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Hivi hamuoni kuwa hii ni janja ya nyani? Mzee alikuwa taabani, alipitisha muda wake wa kuchomwa sindano so hakukuwa na namna ni lazima tu ahairishe mkutano. Eti system mbili tofauti zote ziligoma wakati wa kutaka kuzungumza yeye... Are you serious? hivi wanataka kura ili watuongoze au...
  15. M

    Kura za Dr. Magufuli dhidi ya Lowassa

    Waswahili wanasema haijalishi una nguvu kiasi gani, bali mbinu zako za kumzidi adui yako. Lakini kwa hili CCM ina nguvu na mbinu zaidi ya wapinzani wake CHADEMA inagaragazwa kama mbwa koko aliyedokoa mboga kwenye nyumba ya jirani
Back
Top Bottom