Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,506
Daaah, jamaaa hana huruma kwa Lowassa kabisa, kamchinja Kobe live
yaani magufuli hamhurumii kabisa mzee lowasa jamani,,duh...!!
Daaah, jamaaa hana huruma kwa Lowassa kabisa, kamchinja Kobe live
Kura amezoa wapi? Uchaguzi si bado? Unaandika kwa ushabiki mpaka unaharibu maana ya unachotaka kusema. Ukweli ni baada ya October 25.