Nilitegemea kwenye bandiko lako ungeandika sababu kubwa zilizosababisha Rais asizuie watu kutoka badala yake umeamua kuzunguka mbuyu. Rais hajazuia watu kutoka Kwan sababu kuu mbili: Mosi , watanzania sio watu wa kuweka akiba hivyo basi, kuwazuia kutoka ni sawa na kusema kufeni kwa njaa...
Aliyekuwa Mgombea wa Ubunge jimbo la Buyungu kupitia CHADEMA kwenye uchaguzi mdogo 2018 ndugu Elia F Michael ameamua kuachana na Chadema na kujiunga na CCM.
Ndugu Elia Michael ni Diwani wa Kata ya Gwarama kupitia CHADEMA.
Pia soma...
Wewe umejuaje ni pesa za wizi? Mbona hajapelekwa mahakamani? Somesheni watoto wenu muache wivu wa kijinga kuongea wivu watu waliofanikiwa utakufa kwa kijiba! Nchi hii watu wanasoma kwa shida wakifanikiwa mnawaita wezi ujinga mtupu.
Toa numerical evidence to back up your arguments otherwise ni chuki, wivu na husda kama kawaida ya wananchi wengi wa nchi hii. Kumchukia aliyefanikiwa hakukufanyi ufanikiwe!
Hate gani wakati nmemuona Msando mara nyingi akilala kwenye magheto ya wanafunzi wa kike vyuoni achilia mbali video zake akimpima oil Gigy Money! Msando ni mpuuzi hawezi kuwaongoza watu wenye akili zao
Msando huyu huyu mhuni dunga dunga wa wanafunzi wa vyuo? Hakuna chuo cha kanda ya Kaskazini (Arusha na Kilimanjaro) ambako Msando hana demu. Halafu huyu jamaa si ndio alijiuzuru ushauri wa ACT baada ya kujirekodi ameweka mkono kwenye papuchi ya Giggy money baada ya kutoka kumlamba koni? Mnataka...
Ukitaka kumwelewa P, msome between the lines . Kumlaumu Pasko kwanini amebadilika unanishangaza sana kwa sababu unapaswa kufahamu Pasko alishakutana na uhalisia wa kupingana na serikali awamu hii so he knows what it means to stand against government in the current reign. Nikuulize swali rahisi...
Ila tukiacha unafiki mtoa mada ana point inayopaswa kujibiwa kwa hoja mujarabu sio matusi au kejeli. Mbowe kuikopesha chadema ilihali akiwa ni mwenyekiti inatengeneza 'conflict of interest' kwa mkopeshaji kuwa ndiye mlipaji!
Na nyinyi mnakufuru sasa! Ni ujinga kutoa mfano wa damu ya Yesu iliyomwagika msalabani kuukomboa ulimwengu na dhambi na binaadam yeyote yule. Acheni ujinga kwani hamwezi kusifia bila kulitaja jina la Yesu? Na mbaya zaidi unakuta mleta mada ni mkiristo! Shame on you. Kumbukeni usilitaje bure...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.