China yamtunza medali ya heshima Dk salim A.salimu

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Serkali ya china imetoa kwa Mara ya kwanza medali yake moja ya heshima ya juu kwa mwafrika wa kwanza Dk salimu kama kutambua mchango wake kwa taifa hilo

Mtoto wa kike wa Dk salimu amepokea medali hiyo kutoka kwa rais wa china xi jiping mbele ya balaza kuu la kikomunist

Rais xi amemtaja mh salimu kama mwafrika aliyesimama kidete akiwa balozi katika umoja wa mataifa kupigania taifa hilo

Watu wengine 42 wamepokea tuzo hizo amabazo hutolea na mamlaka za juu za china na kukabidhiwa na rais wa taifa hilo.

Mwana wa Dk salimu ambayepia ni balozi wa bank ya dunia nchini Krigistan ameshukuru taifa la china kwa niaba ya baba take na taifa zima la Tanzania.

Picha zinakuja
 
Xi akihutubia
1569784692250.jpeg
1569784739830.jpeg
 
Back
Top Bottom