Huyu aliwahi kusema tunatakiwa tufikiri nje ya box tujiajiri wenyewe. Nashangaa mtu aliyewahi kuwa Waziri na mbunge kwa miaka kumi ameshindwa kufikiri nje ya box kama alivyokuwa anatushauri sisi graduates
Una maarifa mengi na makubwa katika mawanda ya Historia ila tatizo lako ni udini. Umeruhusu udini ukaleta ukungu mkubwa katika akili yako kiasi kwamba ukiongea unajikuta upo katika mlengo wa dini na sio objectives
Wewe jamaa unanivutia una maarifa, ni eloquent and brilliant japokuwa tunapishana kwenye suala la kuwepo Mungu. Anyways, huoni kwamba kinachokupa ubavu wa kukataa royal family daughters ni kwa sababu unajiweza kiuchumi na tayari familia yako wapo vizuri? Vipi ungekuwa unatokea familia zetu za...
Kijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application ya SomaApp aitwaye Isaiah Yunk(g)e anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila( Koito ak chaik) itakayofanyika leo Jumamosi huko Narok, Kenya.
Miongoni mwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria ni pamoja na wazazi wa...
Mimi ni mteja mzuri tu wa betting companies( ambaye sometimes nabet mpaka 40M kwa mwezi). Miezi kadhaa iliyopita nilihamia Wasafibet baada ya kuona wanatoa odds nzuri na mechi nyingi zaidi in play na app yao ni user friendly( kwa hilo nawapongeza na kuwapa maua yao). Kinachonitatiza ni kitengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.