Wadau naombeni msaada,
Nina pool table langu natafuta mtu mwenye site/sehemu nzuri kwa maana ya pub, grocery au bar kwa ajili ya kuweka pool table then tupatane malipo.
Nipo tayari kuijengea kibanda ili mradi tu kuwe na pub au grocery au baa.
NB: Sehemu iwe ndani ya Arusha.
Asante mkuu...
Lakini hizo sio fursa za kumtoa kijana kwa wazazi currently, nipande miti ya mbao nisubirie ikue then niuze daah..
Tuwe serious sometimes Kama umeamua kushirikisha watu fursa tuwe tunatoa na mpango mkakati kuanzia kwenye mtaji ,na mlolongo mzima wa hiyo fursa..
Otherwise...
Ni kweli mkuu inawezekana Ni mdogo lakini +8 years ahead , sasa naweza kukaa na wazee tukashauriana..
Pia inawezekana nilikuwa form six na umri mkubwa.
Duuh huu Uzi umenikumbusha mbali Sana
Ilikuwa mwaka 2011 nikiwa form six huko mwanga Kilimanjaro ,alikuja dada mzungu jirani na shule basi nikaja kumshobokea na viinglish vyangu vya broken.
Mtoto akaja kukolea akawa anakuja school asiponiona analia basi masela wananisaka Kila chimbo kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.