Una simu ya smart phone ya 250,000 afu unasema tatizo mtaji na wakati wengine walianza na mtaji wa elfu 20, jitazame kwanza unaresource gani na apo ndio pa kuanzia
Uyu jamaa ni tapeli kuweni makini, mtu anakuitia pembeni ili akunyonge vizuri
huu uzi wa miti ulishajadiliwa hapa jukwaani na wadau walifunguka vizuri, jaribuni ku search mtauona
Kwa mahesabu ya haraka kwenye hiyo chati, lowassa ni raisi mtarajiwa octoba 25
Usianze kubishana kama ujaelewa au hujui hesabu sema ueleweshwe jibu limetoka wp
Mtoa mada anauelewa mdogo,
Ilo swali uwezi jibu NDIYO AU HAPANA mana ndani yake kuna vitu viwili ukiukwaji wa katiba na kuchaguliwa kwa lowassa
Na kwa mtazomo wa kingunge ni wazi kama katiba ingefuatwa lowassa ndo angechuliwa kuwa mgombea sasa mengine ya yaliyofanyika yana maslai na mtu mwingine
Watu wanafata Fiesta tu wala co kitu kingine, ccm kazi mnayo mikutano yenu hamna wapiga kura watu wamefata mziki na wengine mmezunguka mtaani mkiwasomba na UDA kama mlivyofanya apa dsm ili kuficha aibu msiwe wakiwa kwenye mikutano yenu
Dah ilikuwa ni kazi kweli kweli mana awa makamishna na ma incharge ndo wanahusika na ndo wana aprov ulipe iyo kodi na ukienda help desk unaandika malalamiko yanaenda kwa kamishna unaletewa majibu kamishina ame reject unatakiwa ulipe iyo kodi,
Kuenda mbele kisheria unaweza lakini utababaishwa...
Nili fight mpaka nkaamua make decision iyo ya kulipia, ishu apo ya agent anaweza kukuibia kama utakuwa unamwamini tu unampa ela bila kupata assesment yeye ndo akalipie, kuondoa wizi unatakiwa kupata assesment kwa agent wko na unalipia kwa account ya Tra iyopo kwenye benk yeyote wanazotumiaga...
Hii calculator ya Tra ina mapungufu mengi sana, sehemu zingine ipo sawa sehemu zingine haieleweke, na wanaelewa hayo mapungufu ila wapo kimya na hapo ndo wanatumia mwanya huo kupiga ela za watu mana ukienda kule ndani mtu atakwambia nipe kiasi flani nkurekebishie afu wengine ni matapeli anakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.