Hi everyone!!! Me nikijana nimeamua kujiingiza kwenye ujasiliamari kidogo...ninatoa huduma ya malazi kwa bei rahis sana...vyumba ni vya kisasa kabisa vyenye heater inayotoa maji moto, kitanda cha chuma cha kisasa, duvet ya kisasa kwa kuzuia barid, sumsung flat tv ya kisasa kila chumba...