OLASIT HOUSE-ARUSHA MBAUDA

maridad

Member
Dec 30, 2015
14
2
Hi everyone!!! Me nikijana nimeamua kujiingiza kwenye ujasiliamari kidogo...ninatoa huduma ya malazi kwa bei rahis sana...vyumba ni vya kisasa kabisa vyenye heater inayotoa maji moto, kitanda cha chuma cha kisasa, duvet ya kisasa kwa kuzuia barid, sumsung flat tv ya kisasa kila chumba zilizounganishwa na packages za dstv.
Bei zetu ni sh 25000 including breakfast asubuhi.
Pia kwa wale wanaovoluntia katika taasisi mbali mbali arusha, wenye vikao vinaochukua muda mrefu, wafanyabiashara wanaotumia muda mrefu arusha na wale wote wanaokuja arusha na wanatarajia kukaa muda mrefu kumaliza shuguli zao ninazo packages zao tofauti zinazojumlisha discount ya bei zetu pamoja na free accomodation.
Pia tunalo jiko la kisasa lenye kila kitu ndani...kama umekuja na familia arusha au una wageni wako ungependa wafikie hotel yetu basi tutakupa jiko letu na dada wa kuwapikia bila charge yeyote kikubwa ununue mahitaj yako utapikiwa chakula unachokitaka.
Our hotel ni ya kisasa na hatutoi huduma na vinywaji vikali kama bia na mivinyo mengine zaidi huduma hizo utazipata ukiwa chumban incase kama umechukua room kwa wateja wa nje wasiochukua chumba hatuna huduma iyo.
Niwakaribishe sana ofisin kwangu au unaweza nicheki kwa namba yangu 0652812718 kwa booking.
 

Attachments

  • 1452411470750.jpg
    1452411470750.jpg
    79.1 KB · Views: 32
  • 1452411501058.jpg
    1452411501058.jpg
    36.4 KB · Views: 29
  • 1452411534863.jpg
    1452411534863.jpg
    52.9 KB · Views: 29
  • 1452411567728.jpg
    1452411567728.jpg
    48 KB · Views: 37
Back
Top Bottom