Recent content by Marias

  1. M

    Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Take your time fanya serious prayers , shirikiana na waombaji hiyo hali itaisha.Usiiache hivyo make sure inapotea kabisaa! Trust God it will
  2. M

    Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Amina mkuu, mimi ilikuwa nikisisimka hivyo nashindwa kuendelea kuomba, with time nikawa sawa.Pole tuendelee kumtumainia Yesu
  3. M

    Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Nikipita bila kusema nitakuwa sijampa Mungu wangu utukufu anaostahili! Kiukweli nilikuwa nazisikia habari za nguvu za Giza na nilikuwa muombaji wa kawaida tu hadi hapo siku moja ndan ya mwaka huu nilisikia upepo mkali umenivamia mapigo ya moyo yanaenda mbio na mwili wote unatetemeka mithili ya...
  4. M

    Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

    1.Money heist 2.Power 3.Crisis japo iliishia season one Tyrant ,Uris, blacklist
  5. M

    Mwanamke mzito zaidi Ulimwenguni afariki dunia

    How can you call her mnene yani, huyo si wakuita alikuwa na tatzo la kiafya? Hawezi kuwa kwenye group la wanene
  6. M

    Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

    Kumbe Glory ni binti wa kambo 😭sasa nimeelewa zaidi! Tatizo hao watoto wasipopata usimamizi mzuri kwa Sasa wakifikisha miaka ya kina sisi tutakutana nao wamepigika sana maana hapo kwa Sasa wajomba wanawanyonyaaa na hiyo mentality yao kwamba mama yao atatoka huko jela ndo itawacost, watajifilisiiii
  7. M

    Mambo manne (4) yaliyomwangusha Kigogo na wafuasi wake toka enzini

    Sikutegemea kama angeweza kupost ujinga ujinga tena, nimemchukia sana kigogo baada ya uzushi wa majuzi!
  8. M

    Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

    N Sikiliza vizuri hao mashangazi na huyo mjomba na huyo mtoto, utaelewa vizuri! Angalia wapi wanalogic
  9. M

    Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

    Hahahaha na huyo alitakiwa atue bongo at anycost ili sinema iwe tamu zaidi
  10. M

    Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

    Hapa Sasa Dc alichemka, kwa hiyo familia ulichofanya wasimamizi wa mirathi wawe wawili kutoka pande zote na huyo mama aondolewe kwenye usimamizi, laiti kesi yake ingekuwa imeisha huyo mtoto angetuliza akili.Maana watahangauka kutafuta hela za kumpa mwanasheria ahonge kwa ajili ya kesi kumbe...
Back
Top Bottom