Mbongo hutamshinda akili, kuna mawakala wanauza laini zilizosajiliwa kwa fingerprint

5997

JF-Expert Member
Jan 19, 2019
514
1,204
Juzi nilikua wilaya mojawapo mkoani mwanza aisee nilikua naongea na jama nikimwambia kuwa tarehe 31 nitapoteza mawasiliano kwakuwa bado sijasajili laini hata moja kati ya laini nne nilizonazo,

Cha kushangaa jamaa aliniambia kuna mtu tena wakala anaweza kukuuzia laini nimpatie buku tano ntapata,

Kweli lisemwalo lipo wakuu hizi laini zipo kabisa kuna watu wanazo mimi ningekubali ningekua sasaivi nina laini japo isingekua na majina yangu

Hizi siku za mwishomwisho za kufunga laini kuna watu wanauziwa laini vibaya mno

Wizara husika ni heri mkafuatilia hili jambo maana si maneno haya nimeona baadhi ya watu humu wanaongelea iyo ishu imebidi na mimi nitoe ushahidi wangu,

Yaani kama ni makosa ya kimtandao kwa hali hii watasombwa wengi
 
Jambo la fingerprint limekaa kipuuzi puuzi bila utaratibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kusema humu nikaishia kuitwa mzushi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi nilikua wilaya mojawapo mkoani mwanza aisee nilikua naongea na jama nikimwambia kuwa tarehe 31 nitapoteza mawasiliano kwakuwa bado sijasajili laini hata moja kati ya laini nne nilizonazo,

Cha kushangaa jamaa aliniambia kuna mtu tena wakala anaweza kukuuzia laini nimpatie buku tano ntapata,

Kweli lisemwalo lipo wakuu hizi laini zipo kabisa kuna watu wanazo mimi ningekubali ningekua sasaivi nina laini japo isingekua na majina yangu

Hizi siku za mwishomwisho za kufunga laini kuna watu wanauziwa laini vibaya mno

Wizara husika ni heri mkafuatilia hili jambo maana si maneno haya nimeona baadhi ya watu humu wanaongelea iyo ishu imebidi na mimi nitoe ushahidi wangu,

Yaani kama ni makosa ya kimtandao kwa hali hii watasombwa wengi
I'mwakuu hivi kuangalia kama namba yako imesajiliwa kwa alama ya kidole unabongeza ngapi?
Juzi nilikua wilaya mojawapo mkoani mwanza aisee nilikua naongea na jama nikimwambia kuwa tarehe 31 nitapoteza mawasiliano kwakuwa bado sijasajili laini hata moja kati ya laini nne nilizonazo,

Cha kushangaa jamaa aliniambia kuna mtu tena wakala anaweza kukuuzia laini nimpatie buku tano ntapata,

Kweli lisemwalo lipo wakuu hizi laini zipo kabisa kuna watu wanazo mimi ningekubali ningekua sasaivi nina laini japo isingekua na majina yangu

Hizi siku za mwishomwisho za kufunga laini kuna watu wanauziwa laini vibaya mno

Wizara husika ni heri mkafuatilia hili jambo maana si maneno haya nimeona baadhi ya watu humu wanaongelea iyo ishu imebidi na mimi nitoe ushahidi wangu,

Yaani kama ni makosa ya kimtandao kwa hali hii watasombwa wengi

Wakuu hivi kuangalia kama namba yako imesajiliwa kwa alama ya kidole unabonyeza ngapi?
 
Back
Top Bottom