Napenda kushukuru jf sanasana Asha D , Fixed point , maxence melo, kaunga , riwa , mwa j ,kipipi , blacki woman , mtambuzi , erickb52 na niliowasahau mmefanya nione kuwa na vvu si mwisho wa maisha kwani ilikuwa ngumu sana kukaa nalo moyoni bila familia yangu kujua kupitia nyinyi nimekuwa wazi...