Habari wanajf
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Nahitaji roommate wa kike tushee room pamoja ili kusave gharama za kodi
Room ni nzuri na standard
Mhusika akiwa hana vitu vingi au hana kitu itapendeza zaidi
Rooom ipo mabibo mwisho
Kodi ni 60,000 kwa mwezi
Awe na hela ya miezi mitatu
Mhusika...
Isije ikawa maneno haya makali yanatoka baada ya kumfumania mchepuko wako ambaye ni chumba cha jirani kwaio hujui hata umuadhibu vipi
By the way
Kama yanatoka moyoni hongera sana mkuu
Umechagua fungu jema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.