Recent content by Mardi

  1. Mardi

    Plot4Sale Shamba linauzwa

    Nauza shamba heka 1, lipo Boko Mnemela-Kibaha. Eneo lipo umbali wa 8km kutoka shirika la elimu kibaha na linafaa kwa ujenzi, ufugaji na kilimo. Halipo mbali sana na barabara inayounganisha Kibaha na Kisarawe. Mimi ndiye mmiliki. BEI SH.5,000,000/-(MILIONI TANO). Nyaraka za serikali ya kijiji zipo.
  2. Mardi

    Je mama blood group "O" anaweza kuzaa mtoto group "AB" ?

    Hiyo AB ni seli mbili A na B, moja ilitoka kwa baba na moja kwa mama. Na zenyewe ili ziende kwa mtoto itabidi zigawanyike ziwe A na B na sio AB. Mama akileta O na O ( group O= group OO) basi mtoto atapokea O ya mama na A ya baba ambayo italeta group OA ( ambalo ni group A sababu A ni dominant)...
  3. Mardi

    Je mama blood group "O" anaweza kuzaa mtoto group "AB" ?

    Hapana. Atapata group lolote lakini sio AB.
  4. Mardi

    Dawa ya aleji

    Tiba bora kabisa ya aleji ni kujikinga na kile kinachokupa aleji. Vyema umeshajua vinavyompa aleji basi muepushe navyo.
  5. Mardi

    Lina awajibu waliomtukana na picha za nusu uchi, asema waafrika asili yetu ni kuvaa majani

    Asili yetu kuwa uchi, jing a kabisa Linah, umewahi ona mtu kazaliwa kavaa majani?
  6. Mardi

    Mama Salma, Ally Kessy wapinga wanafunzi waliopata mimba kurudishwa shuleni, wasema dini haziruhusu

    Ntoto n'dogo hatanui paja....Wanaotanua na kuzaa wakae nyumbani.
  7. Mardi

    Utaratibu na gharama za kupima vinasaba (DNA) Tanzania

    Biology ingekuwa rahisi namna hii, tusingeenda shule.
  8. Mardi

    Msaada wana Pharmacy wa JamiiForums

    Vidonda vya tumbo
  9. Mardi

    Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

    1.Perfume ( ghali mno) 2.Eau de perfume( CHIBU ipo hapa) 3. Eau de toilette ( zile tununuazo sana chini ya elfu 40) 4. Eau de cologne Bora kuliko ni namba 1. Kawaida kabisa namba 4. Thank me later.
  10. Mardi

    Keko, Dar: Teja afariki na bomba la sindano mkononi

    Overdose hapo haisababishwi na kutojua vipimo.Dose ambayo mwanzo inampa raha baada ya matumizi ya muda mrefu inakuwa haitoshi tena kumpa raha ile ile.Inabidi aongeze kipimo kupata raha kama ile ya mwanzo.Itafikia siku itabidi achome dose kubwa kupita kiasi ili kupata raha kama aliyoipata mwanzo...
  11. Mardi

    Kwa ilivyo hali ya kisiasa Tanzania , je ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali inaweza kuaminika?

    Kuna dawa za maumivu zinalevya ndio,na kama mtu atazi'abuse nae itahesabika ni mtumiaji wa dawa za kulevya. NB: Mkemia mkuu atajua tu ni kilevi cha aina gani kimetumika kwahiyo hakuna wasiwasi hapo.
  12. Mardi

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Mama akiwa rhesus - na mtoto + ndo kuna shida.Umegeuza Dr,nadhani una kazi nyingi mpaka muda mwingine umakini wapotea kidogo.All is good and we appreciate.Continue with the hard work Doc.
  13. Mardi

    Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

    Kaishia darasa la ngapi huyu KIBA?
  14. Mardi

    Samatta atumia 130M kununua gari yake mpya

    Milioni 80+ kabla ya kodi
  15. Mardi

    Samatta atumia 130M kununua gari yake mpya

    Wajua lakini kwamba real pro football kaanzia TP Mazembe na sio Genk?Wajua pia kwamba mshahara aliokuwa anapata TP mazembe unapishana kidoooogo sana na anaochukua sasa Genk.Haya kalale
Back
Top Bottom