Msaada wana Pharmacy wa JamiiForums

BEDUI Jr

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
2,041
2,844
20170505_170148.jpeg

Nahitaji hizi Dawa nimeangaika sijafanikiwa.Mwanzo aliyeniuzia Pharmacy kafunga na mimi nilinunua 1/2(nusu)Dose
 
Hiyo dawa siyo adimu hata kidogo kama upo nenda nakiete famasi zote kubwa zipo lakini kama ulivyoshauriwa atumie mbadala omeprazole ni nzuri ila zilizotoka karibuni zimeboreshwa zaidi kama Rabeprazole au esomeprazole japo bei zake zipo juu kidogo ila ni nzuri ila akapime choo kikubwa kama ni h. Pyloric aende hospital akaandikiwe dawa nenda maabara za kueleweka siyo za bei rahisi za vichochoroni kama huyo bacteria yupo hata utumie dawa gani bado ni shida .... vidonda vya tumbo ni kama kiama sasa hivi ni watu wengi wanavyo vinatesa sana pole sana
 
Back
Top Bottom