Recent content by marcusjl

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini TanTrade

    sanduku la posta nililotumia limefungiwa kisa halijalipiwa na mwenye nalo hayupo nchini kasafiri on top of that nimeitwa kazini je, nikienda bila barua mwajiri atanipokea?.........msaada wadau
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili Serikalini

    hapo kwenye watendaji wa mitaa/vijiji umeongopa ndugu mtoa mada
  3. M

    JamiiForums Tanzania Certified copies Utumishi

    kama tangazo husika limekutaka u-certify fanya hivyo kama tangazo halijasema "NO NEED".......ila jua tu kuwa hicho si gigezo cha kukufanya uwe short listed!!!...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Writer, Author na Auditor?

    na kwa jinsi swali lake lilivyo inaonekana hapo kwenye "Auditor" alimanisha "Editor"....kulingana na nature ya swali lake....."writer,author & editor" ni majina/vitu vinavyo endana lakini "auditor" haiendani na haina uhusiano kabisa na writer,author......
  5. M

    JamiiForums Tanzania Application zaid ya moja utumishi

    aksanteni kwa michango yenu wakuu.......inshallah somo limeeleweka.....
  6. M

    JamiiForums Tanzania Application zaid ya moja utumishi

    sorry....utumishi wao hupendelea barua ziandikwe kwa mkono ama zilizochapwa....mwenye uzoefu tafadhali!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Professional Certificate

    "jaribu kutumia common sense ndugu!......ktk maelekezo yangu sijaandika "primary court magistrate".....bali "magistrate".....& the issue here is that you dont even undestand the term "magistrate"....kwa nilivyo kuelewa uelewa wako unamanisha "magistrate" ni hakimu mahakama ya "mwanzo"...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Professional Certificate

    mkuu, lawyers tunapata icho cheti kutoka "Law School of Tanzania" in connection with the AG's office....bila hiki huwezi kusimama mahakamani as a learned brother/sister..../advocate!barriester/magistrate/judge!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dogo amegoma kwenda shule

    "huenda anajipanga kugombea ubunge mbeleni ambao hauhtaj kiwango chochote cha elimu as long as anajua kusoma na kuandika kiswahili na kiingilishi"
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya makosa ya jinai

    ok....!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na majina ya usaili Jeshi la Polisi 2014

    "jesus walks"!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya makosa ya jinai

    "law is reference", ndugu unaweza tusaidia provision/kifungu kipi na cha sheria ipi kinacho provide hivyo"
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ualimu na hadhi yake

    "you can not be a judge for your own cause"
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Kisabato na degree ya sheria

  15. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya makosa ya jinai

    "miaka ni 20 hakuna cha usku wala mchana apo!
Back
Top Bottom