Recent content by marcusgarvey

  1. M

    Aliyetoa maoni "Acha Wafe" kwenye habari ya kuuawa askari 8 atiwa mbaroni Mbeya

    Wa kagera hawakuwa polisi UOTE="mawelewele, post: 20771226, member: 387979"]Yule aliyesema Kyle kagera,Mwafaaaaa ana utu? Wa
  2. M

    Rais Magufuli akutana na Viongozi wa TUCTA!

    Tucta ilikuwa ya akina Mgaya,hawa wa sasahivi watumishi imekula kwao
  3. M

    Zanzibar: Pemba hali ni tete, vurugu kati ya Polisi na raia

    Hii nchi sasa inatawaliwa kidikteta,hakuna tofauti kati ya Burundi kwa nkurunzinza na zenji kwa sheini
  4. M

    Kuku Chotara wanauzwa

    Kibiashara,nivyema aweke details zake zote ili kuwavutia wateja zaidi lkn pia kuweka uwaz wa biashara take ktk mchanganuo mzuri,no peke take haitoshi
  5. M

    CCM haibomoi ila Wizara ya Ardhi

    Ccm ni ile ile,hata miaka iweje haiwez kuwasaidia watanzania,ccm hii hii ndo iliwaacha watu wajenge bondeni na ccm hii hii ndo inawabomolea watu nyumba
  6. M

    Majigambo ya Mtoto wa Rais na 'Precedents' za Viongozi Watangulizi

    Sisiem inawenyewe,wengine wanaisoma namba
  7. M

    Wosia wa mwisho kwa vijana wa Kitanzania

    Hii ndo tz inayojitia ni kisiwa cha amani kumbe chaka la dhulma,unyanyasaji na ubakaji demokrasia,maandamano ndo njia pekee ya kuyaondoa haya majizi,hao polisi hawawezi kuwazuia watu 12+ milion waliopolwa ushindi,naamin hata hao polisi na wanajeshi ni miongoni mwa walionyeshewa mvua kwa kupolwa...
  8. M

    Atakayeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini

    Ww ni hasara kwa taifa
  9. M

    Atakayeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini

    Hapa hakuna cha maamuzi ya wengi,haki na Uhuru wa mtz umepolwa,tz ya sasa inaongozwa kimabavu,hiyo 8 million ya jpm ni figures tu sio kura za watu,ni kura za watu wasiozid kumi walioamua kujimilikisha nchi
  10. M

    Tamko la NEC kuhusu tuhuma za kuchakachua matokeo...

    Utawala wa kimabavu,Uhuru na haki ya watz inanyongwa
  11. M

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Sasa hivi tz inatawaliwa kimabavu/kidikteta
  12. M

    Tanga - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Huyo mkurugenzi,ndg mayeji ana undugu na stephen wasira,na alipata ukurugenzi kiundugu kipindi wasira alipokuwa waziri tamisemi,kwa kifupi ni kada wa ccm
  13. M

    Shaka Ssali: Tatizo ni wananchi sio watawala

    Pigeni kura kwa wingi ndio dawa yao,watu waamke mapema sana,ikibidi SAA 11 alfajiri ili wakifungua tu vituo watu wamejaa na kuisha haraka ili Zoezi la kuhesabu lianze na kumalizika mapema hata kabla ya SAA moja jioni
  14. M

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    Hakuna kurudi nyumbani,kura Zetu ndo zimebeba hatma yetu kwa miaka 5 na zaidi ijayo,hii biashara ya kumtoa raisi mfukoni haikubaliki,Sera za kila mgombea tumeziskia kinachofuata ni maamuzi ya wengi sio MTU mmoja aendelee kutuamria hatma yetu,piga kura linda kura zuia goli la mkono
Back
Top Bottom