prezdesho
Senior Member
- Dec 30, 2015
- 150
- 78
Nikawaida kumsikia mtu CCM wameamuwa kutubomolea, CCM leo hii wabaya jamani nani kakwambia CCM ndiyo inabomoa ni kiongozi gani wachama umemsikia anasema hayo Mwenyekiti, Makamu, Katibu au jumuia ipi wazazi, vijana, wazee, kinamama.
Haya kwakuwa wanao bomoa ni CCM basi wanaobomolewa ni UKAWA wote kawaida ingekuwa CCM angebagua nyumba za wanachama wake ila kwa kuwa ni serikali inatekeleza sheria haibagui kitu.
CCM ni chama makini mmekitukana kwakuwa kilikuwa hakifuati sheria, kinatetea watu sasa wamesema basi liwalonaliwe.Mlikuwa naona raha kusikia kigogo kasimamishwa,kafukuzwa kazi mkajua sheria inasimama kwa watu wahali ya juu tu.
SHERIA MSUMENO IACHENI CCM ITULIE IMESHAMALIZA KAZI YA KULETA KIONGOZI MAKINI NA WABUNGE SHUPAVU KAZI KWENU