Kuku Chotara wanauzwa

Wabongo tujitahidi huu mwaka 2016 tubadilike,tujifunze kuweka matangazo yenye kueleweka fanya mteja akutambue kwa haraka weka details katika tangazo lako ikiwemo Bei,location na hata discount if any.
NB: Biashara ni matangazo ina maana ukiweza tangazo vibaya na biashara yako itaonekana mbaya
 
Ukitaka maelezo zaidi mpigie simu kwa sababu ameshakupa namba ya simu. Acha kukariri.
 
Kukosolewa pale unapokosea si tusi wala dhihaka,ni vema tukawa waelewa,kimsingi andishi lako ni tangazo la biashara,lakini lina mapungufu kama ulivyoelezwa.Hakuna sababu yakukasirika ila wakati wote tunajifunza,usichokifaham ama umesahau ukieleweshwa ama kukumbushwa ni jambo jema.
 
Kibiashara,nivyema aweke details zake zote ili kuwavutia wateja zaidi lkn pia kuweka uwaz wa biashara take ktk mchanganuo mzuri,no peke take haitoshi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom