Recent content by marcs 22

  1. M

    JamiiForums Tanzania Train letu aerodynamic zinakataa kufika 200 KM/HR . According to Scientific Research of why the body should be streamline to archive speed and balance

    Dunia inaenda mbele sisi hatuna haja ya kurudi japokua hatuna umeme
  2. M

    JamiiForums Tanzania Train letu aerodynamic zinakataa kufika 200 KM/HR . According to Scientific Research of why the body should be streamline to archive speed and balance

    Hilo train la kizamani sana limeletwa la nn speed 160 kwa saa kwa hito train mwanza siku mbili tutaendelea kusafiri na mbasi traini lao watabebea mzigo ya bahresa kwenda bara Ufaransa ipo inatembea km 350 kwa saa china ipo km 400 kwa saa japani ndio namba moja km 600 kwa saa Unaenda kuleta...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua haya

    Itakuwa umepata hasara kwa kuabudu kitu kisichokuwepo maisha yako yote kujinyima mengi kwa hofu ya uwepo wa mungu kumbe hakuna kitu hilo ni bonge la hasara
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua haya

    Mkuu yapi ya kutungwa yapi fact
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua haya

    Mwambie jamaa aendelee kuelezea kwa kirefu asitumi lugha ya kigeni ananichamganya nahitaji kumpiga ka swali
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna maisha mengine zaidi ya haya ya duniani?

    Sio kwel mungu alituumba kwa ukamilifu ndio amepanga vita vikubwa na wanadamu aliowaumba Ikiwa pamoja na kuwachoma kwa moto usiozimika mele na milele
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tutaje magarasa ya kigeni yaliyosajiliwa na Simba na Yanga kwa miaka ya karibuni

    luis mikisoni kubwa la maadui lakni onana ana goli hata moja kweli nahisi nimemsahau kujumuisha kwenye hiki kikosi cha magarasa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tutaje magarasa ya kigeni yaliyosajiliwa na Simba na Yanga kwa miaka ya karibuni

    luis mikisoni hamjaona game ya juzi kituko alichofanya
  9. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu Viwanja bora katika kila bara!

    sijaona qmerika ya kasikazini au hakuna viwanja
  10. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

    Huyo ndio mwenhe mabasi ya Ester anakusikiliza tu yumo humu shauri yako atawaagiza admin waufute uzi wako
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tunaposema tutamkumbuka Hayati Magufuli anayekuwa akipinga hilo ni wafuja pesa za wananchi!

    Si alisema ataendelea kukopa basi akope tu chawa wake waendelee kuchota mpunga Ndungai alisema gii nchi itauzwa wakamwona mjinga sasa ngoja tuone tunakokwenda Sasa wazambia wameshauzwa kwanunua mchina kila kona wanahusika wachina njia zote zinazohusu uchumi wa nchi wapo wachina Hadi idara...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tunaposema tutamkumbuka Hayati Magufuli anayekuwa akipinga hilo ni wafuja pesa za wananchi!

    Taifa linaomboleza kwa wizi wa matrioni ya fedha
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tunaposema tutamkumbuka Hayati Magufuli anayekuwa akipinga hilo ni wafuja pesa za wananchi!

    Umeonge ukweli hatujitambui watanzania kweli hatujitambui maana haya yote yafanyika sisi tumekaa tu kitako
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tunaposema tutamkumbuka Hayati Magufuli anayekuwa akipinga hilo ni wafuja pesa za wananchi!

    Sio kweli kazi zke zilionekana sio kama huyu mama anacheka tu Halafu kuwafukuza faida yake nini wawafanye kama alivyofanywa bwana masamaki Yule jamaa wa nyumba 75 na fedha alizojaza kwenye madiaba Kwa oungozi huu cha moto tutakiona watu wanaiba matrioni na mabilioni ya fedha wayu huku mtaani...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tunaposema tutamkumbuka Hayati Magufuli anayekuwa akipinga hilo ni wafuja pesa za wananchi!

    Ni kweli ksbisa mkuu hawa mafisadi ndio kwanza ndio wamekaza kutafuna pesa za wavuja jasho watatafina hadi mifupa yetu Hili shamba halina walinzi shamba limeachiwa mamyani acha tuvune mabua
Back
Top Bottom